TFF muondoeni Amunike, kazi ya kuivusha stars haiwezi

TFF muondoeni Amunike, kazi ya kuivusha stars haiwezi

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Tunaomba TFF imuondoe kocha mkuu wa taifa stars Amunike

Ni wazi watanzania tumepoteza mechi ya leo kwa uwezo mdogo wa kocha Amunike
Mechi ijayo dhidi ya uganda haitakiwi kumkuta Amunike na benchi lake lote la ufundi
Mechi dhidi ya lesotho ilikuwa muhimu na rahisi kwa tanzania ila tumepoteza kwa maelekezo ya kocha

Nitoe rai kwa TFF, tuondoleeni kocha huyu
 
Amunike aliyekwambia uje kufanya kazi na watanzania alikuingiza choo cha walemavu jiandae kukamata sakafu.
 
Matokeo yapoje mnaopenda kufuatilia Timu uwanjan. Tangu Mbrazili katoka mpira huwa siangalii.
 
Hahahahha leo mm nacheka tu hv nyinyi hawa wababaishaji mnafikr ata wakienda huko afcon c watakuwa ndyo timu ya kugawa point timu zitajipigia mpaka bc hz ngurumbili zinatuchezea akiri nyambafu
 
Kwani akiletwa morinyo, au guadiola tutafuzu!
#tatizogundu
 
Taifa stars ni kama tbc, shule za kata,ccm, n.k mtu mmoja hawezi kuwa tatzo ila marekebisho ya kimfumo ni muhimu zaidi.
 
Sasa TFF ndo unawapa kazi ya kumfukuza Amunike ! Kazi yao wenyewe imewashinda mpaka leo ligi yao haieleweki hata mshindi wa ligi anapata nini .Hapa kocha analaumiwa bure tu nembu taja makosa yake kama kocha zaidi ya kusema sijui mkude sijui nan utazan huyo mkude na wenzake kuna tofauti yoyote . Hata muda mwingine nahisi kocha hafanyi maamuzi baada ya kuwasoma wa tz n watu wa aina gani. Embu fikiri kipa angekua kakolanya alafu gemu tungepoteza bado lawama zingekua zile zile. TFF ,SIMBA na YANGA haya ndo yanasababisha tusifike popote na sio kocha.
 
Back
Top Bottom