Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Tunaomba TFF imuondoe kocha mkuu wa taifa stars Amunike
Ni wazi watanzania tumepoteza mechi ya leo kwa uwezo mdogo wa kocha Amunike
Mechi ijayo dhidi ya uganda haitakiwi kumkuta Amunike na benchi lake lote la ufundi
Mechi dhidi ya lesotho ilikuwa muhimu na rahisi kwa tanzania ila tumepoteza kwa maelekezo ya kocha
Nitoe rai kwa TFF, tuondoleeni kocha huyu