TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus.

Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na ipi isisawazishe.
 
DK ZPO KWA WOTE
Kibongo Bongo dakika sio ziko kwa wote Maana kunakupewa kadi nyekundu au kupewa penati ili wahusika washinde..
Hiizi timu za Simba na Yanga ni kama zimejiona ndo zina haki ya kushinda kila mechi.
Hivyo zikiwa hazijapata point tatu mapema na zikukutana na refa anamapenzi nazo ndo zinaonea timu zingine kupitia refa.
 
DK ZPO KWA WOTE
Sio kweli kama ingekuwa hivyo makampuni ya kubet yasingekuwa yanatoa odds tofauti kwa timu zinazocheza mechi husika. Mwamuzi anaongeza dk au kupunguza dk za nyongeza akiwa na nia (dhamira) ovu.
 
Nyie muhonge hivyo vitimu sisi tunacheza na marefa tu,shenzy kabisa
 
Nyie muhonge hivyo vitimu sisi tunacheza na marefa tu,shenzy kabisa
Refa wa mechi yenu na fountain gate mlimlipa pesa yake iliyobaki?

Au mlimchinjia baharini licha ya juhudi zote alizoonesha.
 
DK ZPO KWA WOTE
Mpira wa miguu ni mchezo wa malengo. Timu huwa zinacheza kutokana na matokeo anayoyahitaji na hata ushindani wa kupata au kulinda matokeo utapungua au kuongezeka kutokana na dakika zinavyoenda.

Barcelona na ubora wao wakicheza na Alves na wanaongoza goli moja hadi dakika ya 80 watacheza zaidi kulinda kuliko kushambulia kutokana na matokeo aliyonayo hadi dakika husika.

Unapoongeza dakika nyingi kupita uhalisia maana yake unambeba yule anayetafuta matokeo katika dakika zile kuliko yule anayelinda matokeo.

Dakika za wote zikiwa na uhalisia.
 
Refa wa mechi yenu na fountain gate mlimlipa pesa yake iliyobaki?

Au mlimchinjia baharini licha ya juhudi zote alizoonesha.
Tumeshanlipa cash,kunbuka na yeye ana familia
 
Refa wa mechi yenu na fountain gate mlimlipa pesa yake iliyobaki?

Au mlimchinjia baharini licha ya juhudi zote alizoonesha.
Wampe buana mkeanja wake wote. Wachezaji wa Simba walishindwa wenyewe kupachika magoli: Kila mchezaji alipigwa njano, golikipa kapigwa red♥️, dk 18 aliomgeza. Hana lawama, wampe chake.
 
Hz dkk huyo shoga yenu hakua uwanjani? Ilipewa timu moja tuuu? Na je huyo shoga yenu yy hakua na hamu ya kufunga goli lingine?
 
Akale wapi? Ona alivyokasirika wakati anakwenda kutoa red 🍒 card kwa golikipa, unadhani alikuwa amekosewa yeye binafsi na yule kipa. Alivaa uhusika wa shabiki wa Simba.
Hivi pale angejikwaa akategua mguu matibabu
 
Tazama mwamuzi anavyoinyonga Pamba jiji, kawanyima penati na goli.
 
Back
Top Bottom