TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus.

Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na ipi isisawazishe.
Sasa kana muda ulipotezwa wewe unaona ni kosa? Acha ujinga
 
Pamba kashanyongwa na mwamuzi, penati na goli vimeyeyuka hivihiiivi
 
Mwamuzi anainyonga Dodoma jiji, tff imenyamaza tu. Penati gani Ile.
 
Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus.

Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na ipi isisawazishe.
Kama vile mamlaka hazion madudu ya vioo ngozi, si jipya nchi hii. See no evil, hakutakuwa na shida
 
Sio kweli kama ingekuwa hivyo makampuni ya kubet yasingekuwa yanatoa odds tofauti kwa timu zinazocheza mechi husika. Mwamuzi anaongeza dk au kupunguza dk za nyongeza akiwa na nia (dhamira) ovu.
Kwani Ni Lazima Wote Tuwe Mashabiki?
Unaonekana Hujui Kabisa Mambo Ya Mpila.
 
Refa wa mechi yenu na fountain gate mlimlipa pesa yake iliyobaki?

Au mlimchinjia baharini licha ya juhudi zote alizoonesha.
Kammalizie Wewe Si Alikusimulia Kwamba Anadai Maana Inaonekana Ndo Stori Zenu Mkiwa Kitandani.
 
Utopolo naona mko bega kwa bega matawi yenu Pamba na Dodoma Jiji.
 
TFF isifumbia macho GSM kudhamini timu 9 kwenye ligi.Ndio maana ligi yetu haina ushindani (side the plumber)
 
Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus.

Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na ipi isisawazishe.
Ushamba huu shida yenu mnaangalia kabumbu tu
 
Back
Top Bottom