TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

Sasa kana muda ulipotezwa wewe unaona ni kosa? Acha ujinga
 
Akale wapi? Ona alivyokasirika wakati anakwenda kutoa red πŸ’ card kwa golikipa, unadhani alikuwa amekosewa yeye binafsi na yule kipa. Alivaa uhusika wa shabiki wa Simba.
Kenge mtasena sana upuuzi
 
Pamba kashanyongwa na mwamuzi, penati na goli vimeyeyuka hivihiiivi
 
Mwamuzi anainyonga Dodoma jiji, tff imenyamaza tu. Penati gani Ile.
 
Kama vile mamlaka hazion madudu ya vioo ngozi, si jipya nchi hii. See no evil, hakutakuwa na shida
 
Sio kweli kama ingekuwa hivyo makampuni ya kubet yasingekuwa yanatoa odds tofauti kwa timu zinazocheza mechi husika. Mwamuzi anaongeza dk au kupunguza dk za nyongeza akiwa na nia (dhamira) ovu.
Kwani Ni Lazima Wote Tuwe Mashabiki?
Unaonekana Hujui Kabisa Mambo Ya Mpila.
 
Refa wa mechi yenu na fountain gate mlimlipa pesa yake iliyobaki?

Au mlimchinjia baharini licha ya juhudi zote alizoonesha.
Kammalizie Wewe Si Alikusimulia Kwamba Anadai Maana Inaonekana Ndo Stori Zenu Mkiwa Kitandani.
 
Utopolo naona mko bega kwa bega matawi yenu Pamba na Dodoma Jiji.
 
TFF isifumbia macho GSM kudhamini timu 9 kwenye ligi.Ndio maana ligi yetu haina ushindani (side the plumber)
 
Ushamba huu shida yenu mnaangalia kabumbu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…