Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jiulize kwanini huyo mchezaji alicheza CAF CL. Kwamba CAF hawakumuona?Kanuni za mashirikisho yote ikiwemo TFF
Hiyo taarifa ya kuwepo mchezaji ambaye hajakamilisha usajili sikuitoa mimi bali wao wenyewe wenye mamlaka (TFF, CAF).Sasa jiulize kwanini huyo mchezaji alicheza CAF CL. Kwamba CAF hawakumuona?
Ulisema walitakiwa kushushwa daraja, ndo maana nimekuuliza mbona FIFA hajatoa adhabu, hajashinikiza Yanga kushuhwa daraja. Mbona CAF hawakukata point za Yanga. Je FIFA na CAF nazo zimeshindwa kuigusa Yanga?Hiyo taarifa ya kuwepo mchezaji ambaye hajakamilisha usajili sikuitoa mimi bali wao wenyewe wenye mamlaka (TFF, CAF).
walimuona ila nimeshakupa muongozo huko juu kuwa Simba na Yanga kwa hapa nchini ni biashara hivyo hazigusiki kirahisi
kirumba, morogoro, chamazi na mkapa......Nnacho fahamu ni kwamba katika msimu mmoja timu inaruhusiwa kuchagua viwanja viwili tu nje ya ya kuwanja chake cha nyumbani katika msimu huu Simba washa tumia Kirumba na Jamhuri Morogoro kwenda nje ya uwanja wao wa nyumbani ni kinyume na kanuni
KANUNI ??Simba ndio mwenyeji, uwanja wanaotumia wa nyumbani ni Azam complex ambao pia unatumiwa na Azam na yanga.
Bodi ya ligi imetaka mechi zote zichezwe muda mmoja nani aliwachagulya Simba huo uwanja unaitaka wacheze.?