NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi.
Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu
TFF na Bodi ya Ligi mnapaswa kutenda haki na siyo kuzungumza huku mpo nyuma ya pazia kuhakikisha timu YENU Pendwa kushika nafasi ya pili