TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

Angalia vzr huko juu dogo...hao ni wenzako..
acha makasiriko Kalpana nikushauri kwasasa acha kidogo kufatilia maswala ya mpira!,pumzika uvute pumzi utulize saikolojia yako.. sahivi ukiona hata mtu amekomenti dot we utahisi tu anaisema simba! na unaona kila anaeisema Simba basi ni yanga!.
fanya uvute pumzi timu lako linakupa stress sana kwasasa..!
 
Nilitarajia kama kawaida yetu Watz wengi tulivyo.Huwa tunajadili mtoa hoja badala ya hoja
 
acha makasiriko Kalpana nikushauri kwasasa acha kidogo kufatilia maswala ya mpira!,pumzika uvute pumzi utulize saikolojia yako.. sahivi ukiona hata mtu amekomenti dot we utahisi tu anaisema simba! na unaona kila anaeisema Simba basi ni yanga!.
fanya uvute pumzi timu lako linakupa stress sana kwasasa..!
Mhhh kwamba na utani wa jadi tuache kisa timu yangu inanipa stress...hao waliokimbia timu yao kwa sasa wanaipenda kipindi cha raha ni ndumila kuwili...
 
Back
Top Bottom