NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ana mwiko nyuma huyuWapewe basi....
Nyie wanga wakubwa. .hamjaona marefa waliotoa uamuzi kwny mechi zenu...wamepigwa faini kwa kuwabeba?? Na maamuzi yao ya hovyo tena mechi mbili mfululizo ...
Haya Kagera sugar wakanyimwa bao lao...unapata wapi confidence ya kuandika utopolo wako..
Mbona ya ZABONA MAYOMBYA wa Prison kupewa Red Card ya dhuluma ili Yanga ashinde uliuchuna. Red Card imefutwa na Waamuzi wameonywa Point Utopolo kabebaKuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi.
Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu
TFF na Bodi ya Ligi mnapaswa kutenda haki na siyo kuzungumza huku mpo nyuma ya pazia kuhakikisha timu YENU Pendwa kushika nafasi ya pili
HahahahahaWapewe basi....
Nyie wanga wakubwa. .hamjaona marefa waliotoa uamuzi kwny mechi zenu...wamepigwa faini kwa kuwabeba?? Na maamuzi yao ya hovyo tena mechi mbili mfululizo ...
Haya Kagera sugar wakanyimwa bao lao...unapata wapi confidence ya kuandika utopolo wako..
Kazi kwake...Nilichopenda ni ujanja wa kipa fasta kaanza watu wakapiga bao
HahahahahaKazi kwake...
Kwamba hakustahili red cardYa mwamuzi kumpa mchezaji wa coastal Union red card uliita hii bodi?
Si ilifutwaKwamba hakustahili red card
ONESHA HUO MPAKA AU UMESIKILIZA MPIRA KWENYE REDIOMalalamiko ya kipumbavu yanatia doa uzuri wa ligi yetu; kuna ambao mambo yaisipoenda wanavyotaka basi hulalamika mpaka kuvuka mipaka.