TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

Nimecheki highlights, Aucho alitaka kumfanyia mwamba mmoja ule ubabe anaowaoneaga wengine, jamaa akusogeza hata unyayo akamnyooshea mikono juu akamuuliza unataka nini, wacha Aucho anywee kama siyo yeye aliyemkimbilia kama anataka kupigana
Hahahahaha ila wale bado sana Mkuu ule mpira wakukamia hata mie na wewe tumecheza ...mpira wa leo hatufungwi Boss yupo
 
Hahahahaha ila wale bado sana Mkuu ule mpira wakukamia hata mie na wewe tumecheza ...mpira wa leo hatufungwi Boss yupo
Ni kweli walikamia ila jana mlikuwa mpoteze ile mechi tena hata kwa goli 3 ila siku hizi mna kismati sana nyie na wachezaji wa Yanga wako tayari kufia uwanjani sijui huwa mnawaambia nini.

Lile shuti la Ndemla sielewi lilishindwaje kuingia likapitiliza. Kuna shuti Bacca alilizuia kwa kichwa karibu afe. Lile shuti Inonga anasogea analipisha anamwachia Ayoub akahangaike nalo
 
Hahahahaha...mti wenye matunda
 
Wabongo bhana 😂 Mbona uwanja wa uhuru ni wa jeshi na umefungiwa na n bora kuliko huo unaosemea ww
 
Huu uwanja s ulifungiwa kwakuwa uko karibu na kambi ya jeshi
 
Mashabiki wa Simba sijui akili siku hizi mnazipeleka wapi. Mechi ya jana ingechezwa kwenye uwanja mzuri kwa vyovyote vile JKT wangefungwa.
Mnaacha kujenga timu yenu mnajazana ujinga kwa propaganda za kindezi, kwahiyo Yanga kule South Africa na Ghana waliruka ukuta? Mechi za CAFCL dhidi ya Al Ahly, Medeama, Belouizdad na Mamelodi ulishuhudia wakati wanaruka ukuta? Siku moja moja angalau muonekane mnaakili sio kila siku kuandika upumbavu.
 
Nimecheki highlights, Aucho alitaka kumfanyia mwamba mmoja ule ubabe anaowaoneaga wengine, jamaa akusogeza hata unyayo akamnyooshea mikono juu akamuuliza unataka nini, wacha Aucho anywee kama siyo yeye aliyemkimbilia kama anataka kupigana
Mnatafuta faraja kibabe
 
Bado unawaza mpira wa mitaani, Aucho alituliza hasira baada ya kujitambua kuwa angeigharimu Yanga kwa kupewa kadi nyekundu isiyo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…