Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha ila wale bado sana Mkuu ule mpira wakukamia hata mie na wewe tumecheza ...mpira wa leo hatufungwi Boss yupoNimecheki highlights, Aucho alitaka kumfanyia mwamba mmoja ule ubabe anaowaoneaga wengine, jamaa akusogeza hata unyayo akamnyooshea mikono juu akamuuliza unataka nini, wacha Aucho anywee kama siyo yeye aliyemkimbilia kama anataka kupigana