TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

Nimecheki highlights, Aucho alitaka kumfanyia mwamba mmoja ule ubabe anaowaoneaga wengine, jamaa akusogeza hata unyayo akamnyooshea mikono juu akamuuliza unataka nini, wacha Aucho anywee kama siyo yeye aliyemkimbilia kama anataka kupigana
Hahahahaha ila wale bado sana Mkuu ule mpira wakukamia hata mie na wewe tumecheza ...mpira wa leo hatufungwi Boss yupo
 
Ni kweli walikamia ila jana mlikuwa mpoteze ile mechi tena hata kwa goli 3 ila siku hizi mna kismati sana nyie na wachezaji wa Yanga wako tayari kufia uwanjani sijui huwa mnawaambia nini.

Lile shuti la Ndemla sielewi lilishindwaje kuingia likapitiliza. Kuna shuti Bacca alilizuia kwa kichwa karibu afe. Lile shuti Inonga anasogea analipisha anamwachia Ayoub akahangaike nalo
 
Hahahahaha...mti wenye matunda
 
kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji

JKT Tanzania walindelea kutaka mchezo wao uchezwe palepale kwenye uwanja mbovu TFF na Bodi ya ligi hawakupinga tamko la jkt Tanzania kubaki katika uwanja mbovu na usiofaa kabisa katika matumizi ya mchezo

SWALI LANGU je ingekua timu nyingine isiyokiua ya jeshi TFF na Bodi ya ligi wangekaa kimya na kutii matamko ya timu kung"ang"ania uwnja mbovu?

TFF na Bodi ya ligi inachangia pakubwa mno kushusha hadhi ya ligi yetu inayofuatiliwa Africa nzima kwa makosa ya kizembe kama haya
Wabongo bhana 😂 Mbona uwanja wa uhuru ni wa jeshi na umefungiwa na n bora kuliko huo unaosemea ww
 
Huu uwanja s ulifungiwa kwakuwa uko karibu na kambi ya jeshi
 
Hii ndiyo mechi nilikuwa nina uhakika Yanga atadondosha point maana hawezi kuruka ukuta kwenye kambi ya jeshi. Tena mshukuru tope lile limewabeba maana nyie ni wazee wa matopeni. Mahesabu yangu ya muda mrefu, Simba wangekaza wakashinda zile mechi zake za karibuni na ile derby ya juzi, baada ya leo ungekuta Simba anaongoza ligi ila ndio hivyo klabu imejaa watu wasiojitambua.
Mashabiki wa Simba sijui akili siku hizi mnazipeleka wapi. Mechi ya jana ingechezwa kwenye uwanja mzuri kwa vyovyote vile JKT wangefungwa.
Mnaacha kujenga timu yenu mnajazana ujinga kwa propaganda za kindezi, kwahiyo Yanga kule South Africa na Ghana waliruka ukuta? Mechi za CAFCL dhidi ya Al Ahly, Medeama, Belouizdad na Mamelodi ulishuhudia wakati wanaruka ukuta? Siku moja moja angalau muonekane mnaakili sio kila siku kuandika upumbavu.
 
Wabongo bhana 😂 Mbona uwanja wa uhuru ni wa jeshi na umefungiwa na n bora kuliko huo unaosemea ww
1000190793.jpg
 
Ni kweli walikamia ila jana mlikuwa mpoteze ile mechi tena hata kwa goli 3 ila siku hizi mna kismati sana nyie na wachezaji wa Yanga wako tayari kufia uwanjani sijui huwa mnawaambia nini.

Lile shuti la Ndemla sielewi lilishindwaje kuingia likapitiliza. Kuna shuti Bacca alilizuia kwa kichwa karibu afe. Lile shuti Inonga anasogea analipisha anamwachia Ayoub akahangaike nalo
1000190951.jpg
 
Nimecheki highlights, Aucho alitaka kumfanyia mwamba mmoja ule ubabe anaowaoneaga wengine, jamaa akusogeza hata unyayo akamnyooshea mikono juu akamuuliza unataka nini, wacha Aucho anywee kama siyo yeye aliyemkimbilia kama anataka kupigana
Mnatafuta faraja kibabe
 
Bado unawaza mpira wa mitaani, Aucho alituliza hasira baada ya kujitambua kuwa angeigharimu Yanga kwa kupewa kadi nyekundu isiyo na maana.
 
Back
Top Bottom