TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

England Ligue Yao ni Bora baran ulaya..ila marefa wao hata wedi kapu hawaitwi ...we umechukulia kigezo gan ili refa aitwe Caf?
 
Unakumbuka penalty ya Fei toto dhidi ya Namungo msimu uliopita?? Unakumbuka penalty ngapi tata mlizopewa?

Mkuu, tatizo sio timu tatizo ni waamuzi wana uwezo mdogo wa kuchezesha, pia wanaziogopa hizi Simba na Yanga.
Hapa kirumba Kuna mchezaj wa yanga kakwatuliwa nje kabisa ya 18 ila refa kafunika
 
Mimi nakushauri kwamba ni bora uuchune tu. TFF wakisoma huu uzi wataifungi hiyo ID yako kujishughulisha na maswala ya soka.
 
Acha ufara we ni mtu mzima
 
Hapa viongozi wa timu zingine washtuke mapema. Hapa Jambo liko wazi Simba wanatengenezewa nafasi ya kuwa bingwa makusudi kabisa. Mwaka huu ndio umeanza mapema sana marefa kuvuruga. Walianzia ngao ya jamii,ikalazimishwa lazimiahwa ili mradi tu simba achukue. Imeanza kwa kasi ligi kuu. Viongozi wa timu zingine washtuke mapema
 
TATIZO WAKIONGEA WANAFUNGIWA NA NDIYO MAANA SISI TUNAPIGA MAKELELE.
 
Ujinga wenu ni kwamba kila mmoja wenu hulalamika pale timu yake inapokuwa chin katika msimamo, mambo haya katika misimu miwili ya yanga kuchukua ubingwa yalitamalaki na wao walikuwa wanajibu kuwa kila mmoja ashinde mechi zake, leo wanaona waamuz hawako fair,

Je, hawakuiona penat dhidi ya namungo msim uliopita, mpira alishika mchezaji wa yanga na penati wakapewa yanga

Je, hawakuona goli la kusawazisha 2-2 dhidi ya azam, mpira ulitoka nje kabla haujarudishwa ndan na kuzaa goli.

Je, ilikuwa fair kwa yanga kufungwa goli mpira ukiwa nyavuni refa akasema ni kona?

TUJISAHIHISHE
 
JE UMESOMA SAWA SAWA BANDIKO MKUU.

RUDIA TENA KUSOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…