Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kirumba Kuna mchezaj wa yanga kakwatuliwa nje kabisa ya 18 ila refa kafunikaUnakumbuka penalty ya Fei toto dhidi ya Namungo msimu uliopita?? Unakumbuka penalty ngapi tata mlizopewa?
Mkuu, tatizo sio timu tatizo ni waamuzi wana uwezo mdogo wa kuchezesha, pia wanaziogopa hizi Simba na Yanga.
Mimi nakushauri kwamba ni bora uuchune tu. TFF wakisoma huu uzi wataifungi hiyo ID yako kujishughulisha na maswala ya soka.Sasa nimegundua ni kwa nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa.
Kuanzia mechi ya Azam FC dhidi ya Dodoma waamuzi waliochezesha ile mechi ni utumbo mtupu tena Azam FC wananyimwa goli sijui TFF na Bodi ya ligi mnaawaadhibu vipi hao marefa.
Tazama mechi ya Singida Fountain Gate FC dhidi ya Simba SC Kuna makosa mengi sana yaliyofanywa na waamuzi mpaka unajiuliza hivi hawa marefa huwa wanajifunza sheria kweli?
Ukifuatilia mpira kwa makini unagundua kuwa refalii wapo kwa ajili ya kuzilinda Simba na Yanga tu maana wao Wana mashabiki ambapo watakapo ona wanazulumiwa ni lazima wapige kelele kwenye mitandao.
Kwa uchezeshaji huu ni ngumu sana kwa marefa kuitwa katika mechi za kimataifa na ukizingatia ligi yetu inakua kila siku inaongeza wafatiliaji na mashabiki wapya kutoka nchi za jirani na kimataifa pia.
TFF na Bodi ya ligi Kama mtaendelea kukaa kimya juu ya huu utumbo Basi ni wazi mnaitia doa ligi yetu na wapenzi wa mpira tutaamini kuwa nyinyi ndiyo mnabariki haya Madudu yanayofanywa na marefa.
Hapo umetumia busara zaid hivyo ndivyo muungwana humjibu mpumbu bravo mkuu.KAMA HUNA HOJA BORA KUKAA KIMYA KULIKO KUONESHA HUU UPUMBAVU UNAOUFANYA.
Hapa kirumba Kuna mchezaj wa yanga kakwatuliwa nje kabisa ya 18 ila refa
WamesahauHapa kirumba Kuna mchezaj wa yanga kakwatuliwa nje kabisa ya 18 ila refa kafunika
Acha ufara we ni mtu mzimaPunguza ushabiki, angalia Mpira vizuri , wakati beki anamzuia Kibu upande wa kushoto kwake Kuna beki mwingine alikuwa mbele yake ndani ya box lao kufanya marking kama Kibu asingeangushwa! Refa alikuwa sahihi rejea picha za video utaona vizuri lile tukio , sawa kolo wizard? Mmebebwa Leo goli halali la Singapore Big Stars limekataliwa na Sasa inatia kinyaa kuangalia mechi zenu, Simba kwasasa mpira hamjui mnalazimisha ushindi!
Mbio zenu za ubingwa zitaishia jangwani tutaweka full mkoko na kuwakanda ndani nje!
Nawashauri Singida big Stars mkalalamike Fifa ubovu wa TFF kuweka marefa wa msimbazi, Leo mlistahili ushindi mmeonewa msikubali maana mtaonewa Kila mechi na uonevu utaendelezwa Kwa timu zingine underdog!
Kweli Simba mbumbumbu wamejaa mwenye akili mmoja tu Rage the Great Nampa maua yake now now [emoji259][emoji1651][emoji254][emoji255][emoji260][emoji262][emoji272][emoji253][emoji255][emoji2530][emoji816][emoji258]
Ila utopolo wenye akili ni wawili tuAtalipata,ila kimataifa hakuna mbeleko kule,tutaona
SawaIla utopolo wenye akili ni wawili tu
KAMA HUNA HOJA NI BORA KUKAA KIMYAUtopolo hamja acha tabia yenu ya kulaumu marefa na tff
TATIZO WAKIONGEA WANAFUNGIWA NA NDIYO MAANA SISI TUNAPIGA MAKELELE.Hapa viongozi wa timu zingine washtuke mapema. Hapa Jambo liko wazi Simba wanatengenezewa nafasi ya kuwa bingwa makusudi kabisa. Mwaka huu ndio umeanza mapema sana marefa kuvuruga. Walianzia ngao ya jamii,ikalazimishwa lazimiahwa ili mradi tu simba achukue. Imeanza kwa kasi ligi kuu. Viongozi wa timu zingine washtuke mapema
tulikubaliana usiishie KUKAZIA tu,nawe UKAZWE kabisa tujue moja ili uache kupigapiga Domo JFTATIZO WAKIONGEA WANAFUNGIWA NA NDIYO MAANA SISI TUNAPIGA MAKELELE.
HUNA AKILI JINGA WEWE.tulikubaliana usiishie KUKAZIA tu,nawe UKAZWE kabisa tujue moja ili uache kupigapiga Domo JF
kelele siku nzima UNAKAZIA,haya KAZWA na wewe sasaHUNA AKILI JINGA WEWE.
NA HUNA MARINDA [emoji41]
kelele siku nzima UNAKAZIA,haya KAZWA na wewe sasaHUNA AKILI JINGA WEWE.
NA HUNA MARINDA [emoji41]
kelele siku nzima UNAKAZIA,haya KAZWA na wewe sasaHUNA AKILI JINGA WEWE.
NA HUNA MARINDA [emoji41]
JE UMESOMA SAWA SAWA BANDIKO MKUU.Ujinga wenu ni kwamba kila mmoja wenu hulalamika pale timu yake inapokuwa chin katika msimamo, mambo haya katika misimu miwili ya yanga kuchukua ubingwa yalitamalaki na wao walikuwa wanajibu kuwa kila mmoja ashinde mechi zake, leo wanaona waamuz hawako fair,
Je, hawakuiona penat dhidi ya namungo msim uliopita, mpira alishika mchezaji wa yanga na penati wakapewa yanga
Je, hawakuona goli la kusawazisha 2-2 dhidi ya azam, mpira ulitoka nje kabla haujarudishwa ndan na kuzaa goli.
Je, ilikuwa fair kwa yanga kufungwa goli mpira ukiwa nyavuni refa akasema ni kona?
TUJISAHIHISHE