TFF na bodi ya ligi mnasuburi nini kumchunguza Nathaniel Chilambo?Au mnataka Yanga tupeleke malalamiko CAF, FIFA na CAS?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana.

Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba.

Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni beki namba mbili au tatu.

Kwenye mechi zote alizocheza Chilambo huwa anaonekana kwenye maeneo mengi ya uwanja ndani ya muda mfupi sana mfano atainekana kwenye eneo la ulinzi,baadae kwenye kiungo cha ukabaji mara ataonekana kama anacheza namba nane au kumi dakika hizo hizo ataoneka anashambulia kama kiungo mshambulia wa pembeni.

Hii si kawaida kwenye mpira wa miguu hata magwuji kama Nonda shaaban,Messi , Ronaldo,Okocha ,Samata,marehemu Hamisi Gaga n.k. hawakuwa na mtindo huo wa uchezaji.

Baada ya sisi Yanga kuona kuna shida tukaanza kufanya uchunguzi binafsi kama mnavyojua kambi ya Simba ipo wazi huwa tunapata kila taarifa tunayoitaka toka kwenye vyanzo vyetu vya uhakika vilivyopo msimbazi.

Tumegundua yafuatayo;

(a) Chilambo huwa anapewa chupa mbili za juisi maalumu kabla ya mechi na wakati wa mapumziko.Wachezaji wengine wote huwa hawapewi juisi hiyo.

(a)Uwepo wa mtu anayefanana na Chilambo kwenye timu ya Simba.
Tukiwa na uthibitisho wa asilimia mia kuna mchezaji mwingine ambaye anafanana sana na Chilambo ni kama 'Identical twins' wakati wa mapumziko huwa anaingia huyo mchezaji mwingine ndio maana muda wote wa mchezo Chilambo haonekani kukata pumzi.

Tumeshapeleka ushahidi bodi ya ligi na TFF lakini wamepiga kimya kwasasa tunajipanga ili kupelekwa ushahidi wetu CAF, FIFA na CAS.
Hatutaki awama tusije onana wabaya.

'Muhudumu ongeza baketi tatu za Serengeti lite weekend imeshaanza'.
 
Hilo la identical twin ni utoto tu. Hata Wachina kwa sasa mnaweza kuwashtukia, sembuse blacks kabisa. Hapa Tanzania ulishawahi kuona mchezaji yoyote anayefanana na Chilambo au usaji wowote?
 
Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana.

Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba.

Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni beki namba mbili au tatu.

Kwenye mechi zote alizocheza Chilambo huwa anaonekana kwenye maeneo mengi ya uwanja ndani ya muda mfupi sana mfano atainekana kwenye eneo la ulinzi,baadae kwenye kiungo cha ukabaji mara ataonekana kama anacheza namba nane au kumi dakika hizo hizo ataoneka anashambulia kama kiungo mshambulia wa pembeni.

Hii si kawaida kwenye mpira wa miguu hata magwuji kama Nonda shaaban,Messi , Ronaldo,Okocha ,Samata,marehemu Hamisi Gaga n.k. hawakuwa na mtindo huo wa uchezaji.

Baada ya sisi Yanga kuona kuna shida tukaanza kufanya uchunguzi binafsi kama mnavyojua kambi ya Simba ipo wazi huwa tunapata kila taarifa tunayoitaka toka kwenye vyanzo vyetu vya uhakika vilivyopo msimbazi.

Tumegundua yafuatayo;

(a) Chilambo huwa anapewa chupa mbili za juisi maalumu kabla ya mechi na wakati wa mapumziko.Wachezaji wengine wote huwa hawapewi juisi hiyo.

(a)Uwepo wa mtu anayefanana na Chilambo kwenye timu ya Simba.
Tukiwa na uthibitisho wa asilimia mia kuna mchezaji mwingine ambaye anafanana sana na Chilambo ni kama 'Identical twins' wakati wa mapumziko huwa anaingia huyo mchezaji mwingine ndio maana muda wote wa mchezo Chilambo haonekani kukata pumzi.

Tumeshapeleka ushahidi bodi ya ligi na TFF lakini wamepiga kimya kwasasa tunajipanga ili kupelekwa ushahidi wetu CAF, FIFA na CAS.
Hatutaki awama tusije onana wabaya.

'Muhudumu ongeza baketi tatu za Serengeti lite weekend imeshaanza'.

Kuna wakati Chilambo pia anacheza kama kipa. Nmeona matches kadhaa. Cha kushangaza pia wakati mwingine anaonekana Jukwaani akihamasisha wachezaji wa ndani kwa kucheza kile kigoma chao. Kiuhalisia kuna mambo hayapo sawa juu ya huyu mchezaji. Haiwezekani mchezaji mmoja ndani ya sekunde acheze namba zote hadi za kuwa nje jukwaani akishangilia team. Hilo la pacha wake ni kweli huwa anaingia second half. Anavaa tu jersey ile ile ya yule wa kwanza. Kuna mchezo Simba wanafanya na huyu Chilambo.
 
Naunga mkono hoja. Mimi wakati nikiziangalia mechi za simba, ninamuona huyu mchezaji Nathaniel Chilambo, kama yule mwanamuziki aliyeibuliwa na Bongo Star search Walter Chilambo!

Kwa kweli TFF waingilie tu kati.
 
Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana.

Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba.

Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni beki namba mbili au tatu.

Kwenye mechi zote alizocheza Chilambo huwa anaonekana kwenye maeneo mengi ya uwanja ndani ya muda mfupi sana mfano atainekana kwenye eneo la ulinzi,baadae kwenye kiungo cha ukabaji mara ataonekana kama anacheza namba nane au kumi dakika hizo hizo ataoneka anashambulia kama kiungo mshambulia wa pembeni.

Hii si kawaida kwenye mpira wa miguu hata magwuji kama Nonda shaaban,Messi , Ronaldo,Okocha ,Samata,marehemu Hamisi Gaga n.k. hawakuwa na mtindo huo wa uchezaji.

Baada ya sisi Yanga kuona kuna shida tukaanza kufanya uchunguzi binafsi kama mnavyojua kambi ya Simba ipo wazi huwa tunapata kila taarifa tunayoitaka toka kwenye vyanzo vyetu vya uhakika vilivyopo msimbazi.

Tumegundua yafuatayo;

(a) Chilambo huwa anapewa chupa mbili za juisi maalumu kabla ya mechi na wakati wa mapumziko.Wachezaji wengine wote huwa hawapewi juisi hiyo.

(a)Uwepo wa mtu anayefanana na Chilambo kwenye timu ya Simba.
Tukiwa na uthibitisho wa asilimia mia kuna mchezaji mwingine ambaye anafanana sana na Chilambo ni kama 'Identical twins' wakati wa mapumziko huwa anaingia huyo mchezaji mwingine ndio maana muda wote wa mchezo Chilambo haonekani kukata pumzi.

Tumeshapeleka ushahidi bodi ya ligi na TFF lakini wamepiga kimya kwasasa tunajipanga ili kupelekwa ushahidi wetu CAF, FIFA na CAS.
Hatutaki awama tusije onana wabaya.

'Muhudumu ongeza baketi tatu za Serengeti lite weekend imeshaanza'.
Mmeanza maujinga yenu
 
Kuna wakati Chilambo pia anacheza kama kipa. Nmeona matches kadhaa. Cha kushangaza pia wakati mwingine anaonekana Jukwaani akihamasisha wachezaji wa ndani kwa kucheza kile kigoma chao. Kiuhalisia kuna mambo hayapo sawa juu ya huyu mchezaji. Haiwezekani mchezaji mmoja ndani ya sekunde acheze namba zote hadi za kuwa nje jukwaani akishangilia team. Hilo la pacha wake ni kweli huwa anaingia second half. Anavaa tu jersey ile ile ya yule wa kwanza. Kuna mchezo Simba wanafanya na huyu Chilambo.
Ndugu kuwa serious....
 
Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana.

Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba.

Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni beki namba mbili au tatu.

Kwenye mechi zote alizocheza Chilambo huwa anaonekana kwenye maeneo mengi ya uwanja ndani ya muda mfupi sana mfano atainekana kwenye eneo la ulinzi,baadae kwenye kiungo cha ukabaji mara ataonekana kama anacheza namba nane au kumi dakika hizo hizo ataoneka anashambulia kama kiungo mshambulia wa pembeni.

Hii si kawaida kwenye mpira wa miguu hata magwuji kama Nonda shaaban,Messi , Ronaldo,Okocha ,Samata,marehemu Hamisi Gaga n.k. hawakuwa na mtindo huo wa uchezaji.

Baada ya sisi Yanga kuona kuna shida tukaanza kufanya uchunguzi binafsi kama mnavyojua kambi ya Simba ipo wazi huwa tunapata kila taarifa tunayoitaka toka kwenye vyanzo vyetu vya uhakika vilivyopo msimbazi.

Tumegundua yafuatayo;

(a) Chilambo huwa anapewa chupa mbili za juisi maalumu kabla ya mechi na wakati wa mapumziko.Wachezaji wengine wote huwa hawapewi juisi hiyo.

(a)Uwepo wa mtu anayefanana na Chilambo kwenye timu ya Simba.
Tukiwa na uthibitisho wa asilimia mia kuna mchezaji mwingine ambaye anafanana sana na Chilambo ni kama 'Identical twins' wakati wa mapumziko huwa anaingia huyo mchezaji mwingine ndio maana muda wote wa mchezo Chilambo haonekani kukata pumzi.

Tumeshapeleka ushahidi bodi ya ligi na TFF lakini wamepiga kimya kwasasa tunajipanga ili kupelekwa ushahidi wetu CAF, FIFA na CAS.
Hatutaki awama tusije onana wabaya.

'Muhudumu ongeza baketi tatu za Serengeti lite weekend imeshaanza'.
Huu kwa kizungu tunaita wivu wa kike.
Marc Cucurella anacheza aina hiyo ya uchezaji na anajulikana FIFA, @uefa na hata huko cas
 
Back
Top Bottom