TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

Yanga ya msimu huu inapiga nje ndani! Ikifungwa, basi ni sare. Hivyo haiwezi kuogopa kucheza viwanja vya nje.

Tatizo ule uwanja umefikia kiwango cha mwisho kabisa cha ubora! Kiukweli haufai kuchezea hata mashindano ya bonanza.
ngoja tuone
 
Nilikuwa Natazama hiyo mechi
mwenyewe Nilikuwa najihisi Aibu sana
mpaka Najiuliza hivi Viongozi Wana tazama vizuri tu nahawana Aibu

Kiukweli ule uwanja umeharibika. Na haufai kwa matumizi yoyote yale!
 
Naunga mkono hoja! Tena ikiwezekana Halmashauri zote Nchini zifanye kama walichofanya wenzao wa Geita.

Kuna uwanja wenye ubora wa hali ya juu sana kule unakaribia kumalizika, kwa ajili ya timu yao ya Geita Gold FC.
Una machungu sana na hali halisi ya viwanja Ila tatizo lako unashauri vitu ambavyo havina uhalisia.. kule geita mgodi ndo umetoa pesa sio halimashauri
 
uendelee kutumika mpaka utopolo wacheze na wao kule mbeya
Simba, azam na kmc walishamaliza kibarua chao kule bado uto
Mbeya kwanza vs Simba marudio hakuna? Kama yatakuwepo basi mtautumia bado. Kama ilivyo kwa Yanga kabakisha marudiano dhidi ya Mbeya city tu ila kwa Mbeya kwanza tayari kautumia huo uwanja.
 
Una machungu sana na hali halisi ya viwanja Ila tatizo lako unashauri vitu ambavyo havina uhalisia.. kule geita mgodi ndo umetoa pesa sio halimashauri

Ningetamani kama kuna mtu mwenye taarifa kamili atolee ufafanuzi. Binafsi naamini Halmashauri inahusika. Hata kama fedha zimetolewa na Mgodi, lakini bado uwanja utakuwa chini ya Halmashauri, na siyo Mgodi.
 
maana yangu ni kwamba halmashauri ya geita ina chanzo cha uhakika cha kupata pesa(kutoka mgodini) za kujengea uwanja tofauti na halmashauri zingine zinazotegemea ushuru kutoka kwa wafanyabiashara
 
Jibu ulichoulizwa mechi na mbeya kwanza yanga walichezea kwenye uwanja wako? Usipanue mdomo kuongea usichokijua kijana ni bora ukae kimya kutunza heshima yako
Huyo jamaa ni mpumbavu. Yanga ana mechi moja Tu ya kucheza Sokoine, ni dhidi ya Mbeya City , ilihali Simba ana mechi mbili za kucheza Sokoine dhid ya Mbeya Kwanza na Tanzania Prisons.
 
Back
Top Bottom