ngoja tuoneYanga ya msimu huu inapiga nje ndani! Ikifungwa, basi ni sare. Hivyo haiwezi kuogopa kucheza viwanja vya nje.
Tatizo ule uwanja umefikia kiwango cha mwisho kabisa cha ubora! Kiukweli haufai kuchezea hata mashindano ya bonanza.
Una machungu sana na hali halisi ya viwanja Ila tatizo lako unashauri vitu ambavyo havina uhalisia.. kule geita mgodi ndo umetoa pesa sio halimashauriNaunga mkono hoja! Tena ikiwezekana Halmashauri zote Nchini zifanye kama walichofanya wenzao wa Geita.
Kuna uwanja wenye ubora wa hali ya juu sana kule unakaribia kumalizika, kwa ajili ya timu yao ya Geita Gold FC.
Mbeya kwanza vs Simba marudio hakuna? Kama yatakuwepo basi mtautumia bado. Kama ilivyo kwa Yanga kabakisha marudiano dhidi ya Mbeya city tu ila kwa Mbeya kwanza tayari kautumia huo uwanja.uendelee kutumika mpaka utopolo wacheze na wao kule mbeya
Simba, azam na kmc walishamaliza kibarua chao kule bado uto
Una machungu sana na hali halisi ya viwanja Ila tatizo lako unashauri vitu ambavyo havina uhalisia.. kule geita mgodi ndo umetoa pesa sio halimashauri
maana yangu ni kwamba halmashauri ya geita ina chanzo cha uhakika cha kupata pesa(kutoka mgodini) za kujengea uwanja tofauti na halmashauri zingine zinazotegemea ushuru kutoka kwa wafanyabiasharaNingetamani kama kuna mtu mwenye taarifa kamili atolee ufafanuzi. Binafsi naamini Halmashauri inahusika. Hata kama fedha zimetolewa na Mgodi, lakini bado uwanja utakuwa chini ya Halmashauri, na siyo Mgodi.
Huyo jamaa ni mpumbavu. Yanga ana mechi moja Tu ya kucheza Sokoine, ni dhidi ya Mbeya City , ilihali Simba ana mechi mbili za kucheza Sokoine dhid ya Mbeya Kwanza na Tanzania Prisons.Jibu ulichoulizwa mechi na mbeya kwanza yanga walichezea kwenye uwanja wako? Usipanue mdomo kuongea usichokijua kijana ni bora ukae kimya kutunza heshima yako