TFF na bodi ya ligi,ushauri wa bure kuelekea mechi ya dabi 15 June 2025

pamba boy

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
252
Reaction score
392
Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake!

Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la mechi ya dabi ni chumvi tu kwenye mboga Kwani Hadi kufika Sasa hivi haijulikani wanataka nini na kusimamia nini!

Mambo yalivyokuwa mengi iwapo watayumba na kughairisha mechi watakuwa wamefanikiwa kuvuruga mpira wa Tanzania, Kwani upande uliokuwa kimya nao wataanza kushupalia sakata hilo.

Binafsi nilikuwa nawaelewa Kwa hoja yao ya kugomea mchezo Kwa kosa la tarehe 8 march ila Haya mengine wameanza kutapatapa Kwa hoja za mabavu na kujionyesha wao Wana nguvu kuliko vilabu vingine na wako juu ya Sheria! Mfano kauli ya Ally kamwe kuwa "mtu yeyote ajaribu kukata points zao"

TFF na bodi ya ligi fateni kanuni yanga wameamua kupigana na nyie na wako tayari hata kuwapaka kinyesi Ili washinde.
 
Sioni kama kuna mechi ya dabi tarehe 15. Kama ipo basi itapelekwa tarehe nyingine na siyo hiyo tarehe 15
 
Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake!

Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la mechi ya dabi ni chumvi tu kwenye mboga Kwani Hadi kufika Sasa hivi haijulikani wanataka nini na kusimamia nini!

Mambo yalivyokuwa mengi iwapo watayumba na kughairisha mechi watakuwa wamefanikiwa kuvuruga mpira wa Tanzania, Kwani upande uliokuwa kimya nao wataanza kushupalia sakata hilo.

Binafsi nilikuwa nawaelewa Kwa hoja yao ya kugomea mchezo Kwa kosa la tarehe 8 march ila Haya mengine wameanza kutapatapa Kwa hoja za mabavu na kujionyesha wao Wana nguvu kuliko vilabu vingine na wako juu ya Sheria! Mfano kauli ya Ally kamwe kuwa "mtu yeyote ajaribu kukata points zao"

TFF na bodi ya ligi fateni kanuni yanga wameamua kupigana na nyie na wako tayari hata kuwapaka kinyesi Ili washinde.
Hoja zako ni chai
 
Hizi nguvu mnazotaka zitumike safari hii, mbona hamkutaka zikutumika ile tarehe 8?
 
Bado tu hujaelewa?
 
Vijana Kama wewe mna mchango mdogo sana kwenye hili taifa
 
Back
Top Bottom