Kama wazazi wako waliokuzaa NAWE ukawa LIPUMBAVUWewe ni MPUMBAVU
Sioni kama kuna mechi ya dabi tarehe 15. Kama ipo basi itapelekwa tarehe nyingine na siyo hiyo tarehe 15Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake!
Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la mechi ya dabi ni chumvi tu kwenye mboga Kwani Hadi kufika Sasa hivi haijulikani wanataka nini na kusimamia nini!
Mambo yalivyokuwa mengi iwapo watayumba na kughairisha mechi watakuwa wamefanikiwa kuvuruga mpira wa Tanzania, Kwani upande uliokuwa kimya nao wataanza kushupalia sakata hilo.
Binafsi nilikuwa nawaelewa Kwa hoja yao ya kugomea mchezo Kwa kosa la tarehe 8 march ila Haya mengine wameanza kutapatapa Kwa hoja za mabavu na kujionyesha wao Wana nguvu kuliko vilabu vingine na wako juu ya Sheria! Mfano kauli ya Ally kamwe kuwa "mtu yeyote ajaribu kukata points zao"
TFF na bodi ya ligi fateni kanuni yanga wameamua kupigana na nyie na wako tayari hata kuwapaka kinyesi Ili washinde.
Sikushangai, BOGUSKama wazazi wako waliokuzaa NAWE ukawa LIPUMBAVU
Hoja zako ni chaiKwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake!
Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la mechi ya dabi ni chumvi tu kwenye mboga Kwani Hadi kufika Sasa hivi haijulikani wanataka nini na kusimamia nini!
Mambo yalivyokuwa mengi iwapo watayumba na kughairisha mechi watakuwa wamefanikiwa kuvuruga mpira wa Tanzania, Kwani upande uliokuwa kimya nao wataanza kushupalia sakata hilo.
Binafsi nilikuwa nawaelewa Kwa hoja yao ya kugomea mchezo Kwa kosa la tarehe 8 march ila Haya mengine wameanza kutapatapa Kwa hoja za mabavu na kujionyesha wao Wana nguvu kuliko vilabu vingine na wako juu ya Sheria! Mfano kauli ya Ally kamwe kuwa "mtu yeyote ajaribu kukata points zao"
TFF na bodi ya ligi fateni kanuni yanga wameamua kupigana na nyie na wako tayari hata kuwapaka kinyesi Ili washinde.
Hizi nguvu mnazotaka zitumike safari hii, mbona hamkutaka zikutumika ile tarehe 8?Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake!
Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la mechi ya dabi ni chumvi tu kwenye mboga Kwani Hadi kufika Sasa hivi haijulikani wanataka nini na kusimamia nini!
Mambo yalivyokuwa mengi iwapo watayumba na kughairisha mechi watakuwa wamefanikiwa kuvuruga mpira wa Tanzania, Kwani upande uliokuwa kimya nao wataanza kushupalia sakata hilo.
Binafsi nilikuwa nawaelewa Kwa hoja yao ya kugomea mchezo Kwa kosa la tarehe 8 march ila Haya mengine wameanza kutapatapa Kwa hoja za mabavu na kujionyesha wao Wana nguvu kuliko vilabu vingine na wako juu ya Sheria! Mfano kauli ya Ally kamwe kuwa "mtu yeyote ajaribu kukata points zao"
TFF na bodi ya ligi fateni kanuni yanga wameamua kupigana na nyie na wako tayari hata kuwapaka kinyesi Ili washinde.
Naamin ameelewa sasaWenye akili wanajua nini Yanga wanafanya kwa manufaa ya soka la Tanzania.Tulia ukipata akili utaelewa.
Bado tu hujaelewa?Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake!