TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

Hicho kikosi cha pili cha Simba ndio kimemfanya Mayele aonekane kidogo, tena kipindi cha pili.
 
Mkumbuke Yanga bado gari alijawaka, wameshinda Kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na jitihada za pamoja.
Yanga wakija kukaa sawasawa na wachezaji kufahamiana vyema, kunasiku timu itafungwa magoli mengi ambayo msimu uliopita hayajatokea.
Nashangaa Simba kwanini leo hawajafungwa goli saba.
Kuna namna Simba wameifanya
 
Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania.
CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu .
Mayele analeta imbalance uwanjani.
Yule mdhuungu wa MAKOLO......ni MANDONGA MWEUPE ( Alikamwe, 2022)
................
Mwamed naskia kamaindi huko[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16604225568943917.jpg
 
Back
Top Bottom