TFF na GSM wamedhamiria mechi isichezwe: mabango bado yapo

TFF na GSM wamedhamiria mechi isichezwe: mabango bado yapo

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Ndugu zangu narudia tena hiyo hela ya kuhangaika kwenda taifa kuangalia ujinga wa bongo subiri january ukaangalie makundi lunyasi hapo ni kama tutakuwa hatujahamia Rwanda.

Haijulikani hadi sasa watu wamehongwa kiasi gani kinawchowatoa akili kwamba simba amdharau kit supplier wake anayempa one billion a year achukue milions 60 za matapeli ya gsm kit supllier wa li team libovu la utopolo kisa kuna majitu yamepata kick backs rushwa tu.

Mabango bado yako pembeni kuna asilimia 90 baadaye mpira hauchezwi.

CEO Barbra baaadaye hata neno g likionekana uwanjani hakuna kuingiza team waishushe daraja wakachukue na makomandoo wakalipue pale msimbazi makao makuu ya team we dont give a https://jamii.app/JFUserGuide. Kwendeni hukoo tumewachooka.

GSM msisahau kufadhili marefarii hawana nauli bana tena yule wa vs Namungo mmuongezee hela kabisa
 
tumewachoka na vilio vyenu visivyo na msingi,kwa sasa hii sio timu ambayo kila mtu anatamani kwenda nayo against HAPO NDIPO SANA SANA TULIPOWAELEWA.

1638962482612.jpg
 
Si mlianza kumpongeza uyo Dada yenu kwamba yeye ndo ameshinda vita ya kuondoa mabango sasa mnarudi apa kuanza kulia lia nini? Mabango ya pembeni ya uwanja ayaguswi na mtu yeyote kwakuwa tff walishsaini mkataba ivyo matakwa ya mkataba lazima yatekelezwe, unatakiwa uulize kwanini mabango yaliondolewa kwenye mabench ya ufundi na yale ya pembeni yakaachwa tukupe majibu
 
leo matapeli ya mpira tuko nayo sambamba kwa taarifa yenu simba haiwezi kumuacha kit supllier wake anayetoa billions 1 kwa mwaka ikavaa takataka za kit supplier wa utopolo kwa milioni 30 kwa mwaka hakuna ujinga huo pumbavu zao hizo hela wakampe zeruzeru akanununue lotions za ngozi
 
Duu kweli kutesa kwa zamu, leo hii simba na wao wanakimbia mechi kisa mabango???
siyo mabango tu hata harufu ya home shopping centre haiihitajiki pale, simba ndiyo mwenyejei wa mechi leo ujiuulize hao wanaokazania kuleta vurugu wamehongwa shilling ngapi kumbe bandarini walipata shida kiasi hiki kabla hawa jamaa hawajabadili jina?
 
Back
Top Bottom