CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
- Thread starter
- #21
dude likisikia simba wako mahala linahangaika walipe attention wanazunguka mbaaaliii kuhonga mababab yenye njaa na visions fui wapate mileage, simba haitoi kick kiseeeengeeeeseenge bana ,vunja bei kijana mdogo anatoa milion 85 kwa mwezi kutengeneza kits katengeneza miamvuli, mabegi, diary jezi za watoto matapeli yalikuwa wapi sijui ndiyo yameiga last week mwaka jana yalikuwa busy kutengeneza madera, eti simba wakuvae begani kwa milion 3.5 kwa mwezi..heeeee aiseeee yaani hii vita mbona mtafurahia show
Unajua GSM ni lidude likubwa sana.
Yaani halielezeki.