CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
- Thread starter
-
- #21
Unajua GSM ni lidude likubwa sana.
Yaani halielezeki.
shida ni kwamba home shopping centre wamegundua utopwinyo haina kick afrika , simba ndiyo mahala sahihi kwao kujulikana, wafanyaje sasa wameenda kwa wazee wa TFF wasiyo na vision wala aibu kupitiisha hongo zao, yaani simba awe na nembo mbili za kit suppliers, fred vunja bei anayetoa billion moja kwa mwaka na home shopping centre anayetoa milion 30 kwa mwaka kupitia TFF kwa mkataba usiyooleweka ambao ni siri kali isiyotakiwa kuhojiwaKwani shida ni nini? Mbona upuuzi mtupu?
Una akili lakini hutaki kuzitumia hasa kwa upande huu.Mnatafuta justfication ya kukimbia mechi.
Chief nembo za GSM zinatolewa tukutane uwanjani leo simba 1 Yanga 3.Una akili lakini hutaki kuzitumia hasa kwa upande huu.
Sasa utafanyaje kwa mfano, autoingiza timu uwanjani au? Kumbuka mechi ya leo lazima ichezwe upende usipende, akuna kuhairisha mechi leo, na ikihairishwa mjue point 3 muhimu anabeba yanga bila jasholeo matapeli ya mpira tuko nayo sambamba kwa taarifa yenu simba haiwezi kumuacha kit supllier wake anayetoa billions 1 kwa mwaka ikavaa takataka za kit supplier wa utopolo kwa milioni 30 kwa mwaka hakuna ujinga huo pumbavu zao hizo hela wakampe zeruzeru akanununue lotions za ngozi
kwa mpumbavu asiye na hoja Ni kutafuta justification.Mnatafuta justfication ya kukimbia mechi.
tulieni sasa, nembo imeondolewa tukutane uwanjani.kwa mpumbavu asiye na hoja Ni kutafuta justification.
Ila kwa wenye hoja Hii ni vita ya biashara.
Kama ninyi mlivyokimbia kisa muda kusogezwa mbele wakati wenzenu walikujaMnatafuta justfication ya kukimbia mechi.
sasa leo hamna tena sababu ya kutoroka kipigo as nembo imeshaondolewa.Kama ninyi mlivyokimbia kisa muda kusogezwa mbele wakati wenzenu walikuja
Kama mabango yapo timu hailetwi uwanjani. Habari za kipigo. Mpira ni dakika 90 ngoja tuonesasa leo hamna tena sababu ya kutoroka kipigo as nembo imeshaondolewa.
tukutane uwanjani leo tunawapiga 3 kwa 1.
haha mabango yanatolewa yoote njooni uwanjani kipigo hakiepukiki.Kama mabango yapo timu hailetwi uwanjani. Habari za kipigo. Mpira ni dakika 90 ngoja tuone
Kama yanatolewa tunakuja.haha mabango yanatolewa yoote njooni uwanjani kipigo hakiepukiki.
hakunaga mkataba wa kulazimishana , kama vipi ishusheni simba daraja, kwani lazima kupokea millions 5 ya matapeli ya gsm kwa mwezi?Haina haja ya kuyatoa hayo mabango. GSM ni mdhamini wa Yanga hivyo kwakuwa Yanga ipo uwanjani ni sawa tu hayo mabango yawepo.
Ni sahihi kuyatoa yale mabango yaliyokuwepo kwenye benchi la Simba tu.
Hata sisi mashabiki wa Yanga tunaruhusiwa kuja na Bango lililoandikwa 'Yanga tawi la GSM Makao makuu'
Kwa taarifa yenu. Kwa kutamka tu neno GSM, ujue tayari mshaitangaza GSM bila malipo.hakunaga mkataba wa kulazimishana , kama vipi ishusheni simba daraja, kwani lazima kupokea millions 5 ya matapeli ya gsm kwa mwezi?