TFF na GSM wamedhamiria mechi isichezwe: mabango bado yapo

Unajua NBC wanatoa shilingi ngapi?
 
Kwa taarifa yenu. Kwa kutamka tu neno GSM, ujue tayari mshaitangaza GSM bila malipo.

Hivyo kwa siku mbili tu GSM ameshanufaika kwa kiasi kikubwa. Ni heri mgenyamaza tu
Wacha tutamke ila kuvaa nembo hapana labda kama club ya Simba itatengewa fungu la kueleweka hapo sawa.
 
Kwa hiyo bango la GSM halitakiwi uwanjani au unamqqnisha nini? Isijekuwa wewe ndo mbumbumbu hujui taratibu wala inacholalamikia timu yako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…