Mkuu ni saa $ita sasa amka ukokoyole.Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba
Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga
Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi
Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia Yanga angle ngumu
Rais Karia sio mara ya kwanza anatuhujumu Young Africans, mara kadhaa amekuwa akifungia viongozi, kubambikizia faini na kuipa Yanga ratiba ngumu, huku timu yake ya 5imba ikipangiwa ratiba rahisi na kupewa rundo la vipolo
TFF na bodi ya ligi wamekuwa wakiwapa Simba waamzi wa kuwabeba Kwa kuwapa penalties na kunyonga timu pinzani Kwa red card
TFF wamejaa wahuni na wapo kuhujumu Yanga
No Electionno reforms
Kesi ipo waziMwanasheria wa utopolo ndo maana halisi ya mtumishi hewa jamaa hajawahi kushinda kesi yoyote, hata akienda mahakamani na jiwe lisiloongea bado jiwe litashinda kesi
Tff haitoi nakala mtatumia mbinu gani na mwanasheria wenu ni kilaza?Kesi ipo wazi
Kesi inarejea TFF ili watoe nakala ya hukumu halafu tuwawashie moto
Ndio Mwanasheria wenu kawambia hivyo tena??Kesi ipo wazi
Kesi inarejea TFF ili watoe nakala ya hukumu halafu tuwawashie moto
Kuna kesi isiyohikumiwa au kutolewa maamzi?Tff haitoi nakala mtatumia mbinu gani na mwanasheria wenu ni kilaza?
Ni maamuzi na siyo maamzi✖️ kwa akili hizo mtacheza sana viwanja vya gombani pemba , kimataifa mtaisikia tuKuna kesi isiyohikumiwa au kutolewa maamzi?
Yanga anapeleka shitaka kesho na nakala ya ushauri kutoka CAS
TFF wapitie watoe hukumu na nakala na asiyeridhika na maamzi skate rufaa CAS
Nitawafundisha mpaka lini nyie mbumbumbu
Mtazikumbuka 5 za Simba sana. Timu kubwa ambayo mnataka kucheza nayo na kuifunga ni Simba. Zingine hamna uwezo nazoRais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba
Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga
Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi
Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia Yanga angle ngumu
Rais Karia sio mara ya kwanza anatuhujumu Young Africans, mara kadhaa amekuwa akifungia viongozi, kubambikizia faini na kuipa Yanga ratiba ngumu, huku timu yake ya 5imba ikipangiwa ratiba rahisi na kupewa rundo la vipolo
TFF na bodi ya ligi wamekuwa wakiwapa Simba waamzi wa kuwabeba Kwa kuwapa penalties na kunyonga timu pinzani Kwa red card
TFF wamejaa wahuni na wapo kuhujumu Yanga
Tukana nikulambe ban ya wiki 3 ukirudi usimulie wenzakoNaona nashawishika nikutakane lakini Wacha niheshimu kanuni za Jamii forums