TFF na kamati zake zote Kwa maksudi zimeamua kuhujumu Yanga

Natamani nikushushie kombara ila Wacha nikupuuze tu
Ushushe kombora baada ya kuambiwa ukweli siyo? Shusha uipate risit yako sasa hivi ya kukaa nje ya Jf siku 21
 
Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba

Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga

Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi

Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia Yanga angle ngumu

Rais Karia sio mara ya kwanza anatuhujumu Young Africans, mara kadhaa amekuwa akifungia viongozi, kubambikizia faini na kuipa Yanga ratiba ngumu, huku timu yake ya 5imba ikipangiwa ratiba rahisi na kupewa rundo la vipolo

TFF na bodi ya ligi wamekuwa wakiwapa Simba waamzi wa kuwabeba Kwa kuwapa penalties na kunyonga timu pinzani Kwa red card

TFF wamejaa wahuni na wapo kuhujumu Yanga
Hamieni kenya
 
Huyu mzee tumbo tumbo, mwisho wake ni mbaya sana, acha aendelee tu kuwanyanyasa wanachi, atajuta😀
 
1000277299.jpg
 
Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba

Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga

Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi

Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia Yanga angle ngumu

Rais Karia sio mara ya kwanza anatuhujumu Young Africans, mara kadhaa amekuwa akifungia viongozi, kubambikizia faini na kuipa Yanga ratiba ngumu, huku timu yake ya 5imba ikipangiwa ratiba rahisi na kupewa rundo la vipolo

TFF na bodi ya ligi wamekuwa wakiwapa Simba waamzi wa kuwabeba Kwa kuwapa penalties na kunyonga timu pinzani Kwa red card

TFF wamejaa wahuni na wapo kuhujumu Yanga
CAS na Infantino rais wa Fifa nao wameihujumu YANGA?

SIMBA Guvu Moya.
IMG_20250330_155626.JPG
 
Back
Top Bottom