TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,

Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
 
Nyie 5imba Thiiimbaaaa Guvu Moya mmekalia mara 4 mfululizo mamaeeee....
 
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
Kwaiyo ulitaka walale Bure na kula Bure wasilipiwe iyo ni hoteli ya baba yao?
 
Mtateseka sana mwaka huu, uwezi kusajili wachezaji wa kawaida ukategemea kupata matokeo the same na mwenzako aliyewekeza kwenye ubora, matokeo yake utaendelea kutafuta cheap ajenda zilizokuwa na kichwa Wala miguu!
Unasajili halafu unahonga waamuzi faida iko ya kusajili!
 
Back
Top Bottom