TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

Kama Matokeo Yana Pangwa au Kuna Rushwa turejee kwenye maneno ya msemaji wa Simba wakati Simba ikijipatia ushindi kwa ku bebwa na waamuzi: Malalamiko na maoni yote yapelekwe bodi ya Ligi, Ubaya Ubwela.
 
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
Simba kafungwa, Azam kafungwa na hao ndio tegemeo la kupunguza Yanga Speed, kama hao marefu huko hawakupewa fedha na jamaa wamekandwa. Hao Singida Fountain Gates watapiga TU. Mbaya zaidi hata wenyewe wanacheza ugenini hawajazoea huo uwanja. Yanga wamecheza mara nyingi sana huo uwanja wanaufahamu. Kipondo kisiwe kisingizio refa.

Pia tukumbuke marefa ni watu sio robot Wala hatumii AI hivyo makosa ya kibinadamu yasifanywe ni fimbo na kuwa kichaka Cha rushwa.
 
Hawakushinda kwa uwezo wameshinda kwa msaada wa marefa!
 
Unaweza thibitisha, kumbuka refa ni kazi ya mtu. Akisimamishwa kwa tuhuma za kijinga kama hizi atakwenda mahakamani na mtapaswa kudhibitisha. Mnaweza?
 
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
Halafu wanabana puaaaaaaaaaaaa,tutakua bingwa wa klabu bingwaaaaaaaaaaa,wakati huku kushinda hadi timu moja ipungue mchezaji ndio washinde,Fumbaf zao
 
Unaweza thibitisha, kumbuka refa ni kazi ya mtu. Akisimamishwa kwa tuhuma za kijinga kama hizi atakwenda mahakamani na mtapaswa kudhibitisha. Mnaweza?
Tangulia na mafaili kamsaidie kufungua kesi!
 
Hii mechi wala haihitaji refa kuongwa. Kimsingi tunakwenda kuangalia marudio
 
Unasajili halafu unahonga waamuzi faida iko ya kusajili!
Unao ushahidi ebu ulete, wewe na timu yako mlihongwa Bei Gani mpaka mkapakatwa mechi 4 mfululizo? Kama timu yenu inahongwa Ina maana viongozi akuna pale kuanzia bossi wenu Mo!
 
Uwe na uelewa pamezungumzwa marefa unakuja hapa bila kunawa uso!
 
Mtu anasema Kuna tetesi na yupo Ushetu huko Network yenyewe inasoma E..... Mitandao ya kijamii hii imeharibu sana Kila kitu.
 
Wengi wakiwemo mashabiki wa simba wanataka singida black stars iikande yanga ndio iwe furaha yao. Ikifika zamu ya simba nao wakandwe ili ubingwa msimu huu yanga na simba zipoteze
 
Back
Top Bottom