kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Jana tumeshuhudia mechi nzuri zenye ushindani na fair play hakuna makando kando wala harufu ya bahasha!Simba alilipwa sh ngapi
Mara 4 mfululizo...*****...Simba alilipwa sh ngapi
Nyie 5imba Thiiimbaaaa Guvu Moya mmekalia mara 4 mfululizo mamaeeee....TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
Inatakiwa iwe kihalali si kimagahamu!Nyie 5imba Thiiimbaaaa Guvu Moya mmekalia mara 4 mfululizo mamaeeee....
Futa machozi acha kuliaJana tumeshuhudia mechi nzuri zenye ushindani na fair play hakuna makando kando wala harufu ya bahasha!
Na uzuri zimekutana A na BFuta machozi acha kulia
Bwana Magori amefikia wapi kuhusu Camara kuuza match?Hersi na GSM wanaharibu radha ya ligi yetu
Kwaiyo ulitaka walale Bure na kula Bure wasilipiwe iyo ni hoteli ya baba yao?TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
Rudia kusoma ulichoandika!Kwaiyo ulitaka walale Bure na kula Bure wasilipiwe iyo ni hoteli ya baba yao?
Mpira wako na nani ewe maamuma?!TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
Rudia kusoma ulichoandika!
Mtateseka sana mwaka huu, uwezi kusajili wachezaji wa kawaida ukategemea kupata matokeo the same na mwenzako aliyewekeza kwenye ubora, matokeo yake utaendelea kutafuta cheap ajenda zilizokuwa na kichwa Wala miguu!Rudia kusoma ulichoandika!
Na watanzania wapenda haki na soka safi bila ya hongo wala fitina!Mpira wako na nani ewe maamuma?!
Unasajili halafu unahonga waamuzi faida iko ya kusajili!Mtateseka sana mwaka huu, uwezi kusajili wachezaji wa kawaida ukategemea kupata matokeo the same na mwenzako aliyewekeza kwenye ubora, matokeo yake utaendelea kutafuta cheap ajenda zilizokuwa na kichwa Wala miguu!