TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

Hii ndio shida ya hizi mambo yaani mkishajiona mguu mmoja upo nje basi mnaanza kumtafuta mchawi.
Unajisikiaje ukiangalia ule mpira mzuri na watu wanashinda kwa haki ila sio kwa hila!
 
Mbona unalia Kwa maandishi🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mbona unalia Kwa maandishi🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Nawakumbusha wenye mamlaka kuhusu tabia za viongozi wa hiyo timu!
 
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
Mawazoo mgandoo tuuu hayo
 
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
mimi nakuelewa mkuu hiki kipindi ni kigumu sana so hamna namna ni kutafuta Kwa kutokea tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…