Haya malalamiko tu hayatoshi naziona dalili za second leg mkiweka mpira kwapani tena.Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga...
Haya malalamiko ya kukamia mbona yapo timu zote? Huwa huyaoni?Ukweli usemwe simba ina wachezaji ambao Ni wazee na sio wapambanaji ,timu yako ukiwa mzuri huwezi kulalamikia habari za kukamiwa WALA hujuma utatandika hata kama kutakuwa mazingira ya hujuma kiukweli simba yetu Ni mbovu kupitiliza viongozi wetu waache kusajili watu waliochoka badala yake wasajili wale ambao vijana winye kiu ya mafanikio simba sio sehemu ya kumalizia soka simba inatakiwa iwe Ni timu ya kukuza na kuuza na kuweka malengo ya kuchukiwa ubingwa wa Afrika .
kabisa yaani ile mechi mnyama kala mlungula sio wa dunia hii,hawa GSM watatuharibia mpira wetuWaanze na ile mechi simba alikula kono la nyani maana haiwezekani wachezaji na mo waliuza mechi ile.
Kama unawalaumu ihefu kupigwa 5 wewe timu yako ulipigwa ngapi vile?
Unaweza ukasifia na bado ukaonekana umeandika pumba. Ila mara nyingi huwa unasimamia maslahi ya chama (usimba mwingi) ila nimeshangaa leo kukuona umekuwa mzalendo na kusimamia maslahi ya taifa (mwana michezo)Kwani nini nyie utopwox? Inamaana huwa naandika pumba 24/7/12/365? Au kwa sbb huwa siwasifii? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mtani....ila sijawahi ona mada inayonitaka nitoe hoja ya kitaifa au ya kizalendo humu kwny michezo..ndo maana hujawahi kutana na mm kwny comment kama hii..Unaweza ukasifia na bado ukaonekana umeandika pumba. Ila mara nyingi huwa unasimamia maslahi ya chama (usimba mwingi) ila nimeshangaa leo kukuona umekuwa mzalendo na kusimamia maslahi ya taifa (mwana michezo)