TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

Waanze kuichunguza kwqnza Simba, ilokufa 5 kama Ihefu leo.
 
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga...
Haya malalamiko tu hayatoshi naziona dalili za second leg mkiweka mpira kwapani tena.
 
Ukweli usemwe simba ina wachezaji ambao Ni wazee na sio wapambanaji ,timu yako ukiwa mzuri huwezi kulalamikia habari za kukamiwa WALA hujuma utatandika hata kama kutakuwa mazingira ya hujuma kiukweli simba yetu Ni mbovu kupitiliza viongozi wetu waache kusajili watu waliochoka badala yake wasajili wale ambao vijana winye kiu ya mafanikio simba sio sehemu ya kumalizia soka simba inatakiwa iwe Ni timu ya kukuza na kuuza na kuweka malengo ya kuchukiwa ubingwa wa Afrika .
Haya malalamiko ya kukamia mbona yapo timu zote? Huwa huyaoni?
 
KWenye mechi za Simba mtani Huwa anaongezewà dakika mpaka 9 Ili achomoe
 
Waanze na ile mechi simba alikula kono la nyani maana haiwezekani wachezaji na mo waliuza mechi ile.
kabisa yaani ile mechi mnyama kala mlungula sio wa dunia hii,hawa GSM watatuharibia mpira wetu
 
Kama unawalaumu ihefu kupigwa 5 wewe timu yako ulipigwa ngapi vile?
20240309_184621.jpg
 
Kwani nini nyie utopwox? Inamaana huwa naandika pumba 24/7/12/365? Au kwa sbb huwa siwasifii? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza ukasifia na bado ukaonekana umeandika pumba. Ila mara nyingi huwa unasimamia maslahi ya chama (usimba mwingi) ila nimeshangaa leo kukuona umekuwa mzalendo na kusimamia maslahi ya taifa (mwana michezo)
 
Kama una ushahid ungepeleka mahakamani,usisubir malalamiko yako ndio vyombo husika vifanye uchunguzi

Juzi hapo tu Simba kampa mtu bao 6 je alitoa rushwa kwa timu pinzani?

maamuz mazur ni ww kuacha kuangalia mechi za yanga bas.
 
Unaweza ukasifia na bado ukaonekana umeandika pumba. Ila mara nyingi huwa unasimamia maslahi ya chama (usimba mwingi) ila nimeshangaa leo kukuona umekuwa mzalendo na kusimamia maslahi ya taifa (mwana michezo)
Sawa mtani....ila sijawahi ona mada inayonitaka nitoe hoja ya kitaifa au ya kizalendo humu kwny michezo..ndo maana hujawahi kutana na mm kwny comment kama hii..
 
Kama Mpira wa bongo huufahamu vyema utaumia tu ila kwa tunaoujua nini kinaendelea hatuwezi kukaa na kuumizwa vichwa
 
Back
Top Bottom