TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

Siku ukimsikia kiongozi wa Simba amesema lolote basi hivyo vyombo vitachukua maamuzi ila kama ni mashabiki wachukuliwe nani waachwe nani? Hizo kauli ...
Toka lini umeanza kuongea points 😨😨😨 nmeshangaa sana
 
Mwaka jana nakumbuk geita wa geita gold walipanga matokeo katika tukio nililowai kushuhudia
viongoz wenye pesa waliita wachezaji baadhi wakawalipa pesa badae viongozi wengine walikasirishwa san mpk wakataka waitelekez team muafa ukafikia kwamba

game ya simba nayo inabid simba ashinde nakumbuk alishind tano kama sikosei ila matokeo yalipangwa na wadau mkoani geita.

Walisem kama yanga wakiendelea na hiyo tabia geita gold itashuk daraja naona kama linaend kutokea ....... maan wachezaji baadhi waliachwa na wengine waliomba kuondoka ila chanzo ni sakat la upangaji wa matokeo kati ya yanga na geita ..... ko icho ndicho kilifanyika kwa kuanzia mechi hiyo mechi ila ni kwel kabisa upangaji wa matokeo upo
 
Mwaka jana nakumbuk geita wa geita gold walipanga matokeo katika tukio nililowai kushuhudia
viongoz wenye pesa waliita wachezaji baadhi wakawalipa pesa badae viongozi wengine walikasirishwa san mpk wakataka waitelekez...
Hizi pumba zako peleka mahamani maana Kule hata taira anasikilizwa.
 
Siku zote failure huja na excuse Wala kwahy makolo wako sawa Kwa kulamu mshindi kwavile wao wameshidwa.
 
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ...
Baada ya mechi ya Yanga na Simba Nov 5 kuna wachezaji walituhumiwa kuuza mechi. Je klabu ilichukua hatua gani? Kama walikuwa na ushahidi walipeleka kwenye vyombo husika? Kama hawakuchukiluwa hatua yoyote zilikuwa ngonjera za kuwatuliza mashabiki wao.

Ninavyooba mie mashabiki wa Simba they are sufferring from delusion of grandeur. Siku zote walikuwa wanaamini timu yao ni nzuri kuliko Yanga na walikuwa wanawatambia hivyo wenzao. Sasa Yanga inaanza kupata mafanikio ndani na nje ya nchi wamechanganyikiwa.

Ushauri wa bure kwa mbumbumbu fc tulieni dawa iwaingieni vizuri mtapina ugonjwa wenu huo.
 
Siku ukimsikia kiongozi wa Simba amesema lolote basi hivyo vyombo vitachukua maamuzi ila kama ni mashabiki wachukuliwe nani waachwe nani? ...
Umeandika kama mwanamichezo mbobevu. Safi sana. ✔️

Ingawa pia umewasahau na wachambuzi uchwara wa mpira. Na wenyewe kuna wakati huwa wanazua taharuki zisizo na msingi, kwa sababu tu ya interest zao.
 
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo...
Nafikiri sehemu nzuri ya kuanzia uchunguzi ni pale umbumbuni, inatakiwa Mo na viongozi wenzake waeleze ni kiasi Gani walipewa mpaka wakasokomezwa goli 5!

Wakimaliza hapo waende pia kule caf wawahoji medeama waliokula 3, Kisha waende Algeria kwa Belouzdad wawaeleze zile goli 4 walizokula walipewa kiasi Gani nafikiri takukuru watakuwa wamekamilisha uchunguzi wao!
 
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ...
Mijadala kama hii inaakisi kasumba iliyopo nchini Tanzania ya watu kushindwa kukubali ukweli wa kuzidiwa au kufanya makosa, badala yake wanatafuta visingizio.

Hii inaonesha namna ambavyo michezo, hasa soka, inavyoweza kuakisi jamii na changamoto zake za kiutamaduni na kijamii, kama kukataa kukiri hali halisi au kutafuta sababu nje ya uwezo wao badala ya kukabiliana na ukweli na kufanya jitihada za dhati kuboresha. Ndio maana usiku kuchwa tunachapwa viboko na wanasiasa.
 
Umeandika kama mwanamichezo mbobevu. Safi sana. ✔️

Ingawa pia umewasahau na wachambuzi uchwara wa mpira. Na wenyewe kuna wakati huwa wanazua taharuki zisizo na msingi, kwa sababu tu ya interest zao.
Sure ni kweli..wana unazi wa simba na yanga uliopitiliza...
 
Wewe Huna akili ata moja 05/11/23 na yenyewe yalipangwa ama wao kufungwa ni khaki mzeee
 
Siku ukimsikia kiongozi wa Simba amesema lolote basi hivyo vyombo vitachukua maamuzi ila kama ni mashabiki wachukuliwe nani waachwe nani? Hizo kauli...
Mwambie aliyechukua simu yako akurudishie, anaandika points ambazo shabiki wa kolo hawezi andika.
 
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo...
Unalia na kujitekenya mwenyewe yaani kolo bhana!
 
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo...
Ukweli usemwe simba ina wachezaji ambao Ni wazee na sio wapambanaji ,timu yako ukiwa mzuri huwezi kulalamikia habari za kukamiwa WALA hujuma utatandika hata kama kutakuwa mazingira ya hujuma kiukweli simba yetu Ni mbovu kupitiliza viongozi wetu waache kusajili watu waliochoka badala yake wasajili wale ambao vijana winye kiu ya mafanikio simba sio sehemu ya kumalizia soka simba inatakiwa iwe Ni timu ya kukuza na kuuza na kuweka malengo ya kuchukiwa ubingwa wa Afrika .
 
Mwambie aliyechukua simu yako akurudishie, anaandika points ambazo shabiki wa kolo hawezi andika.
Yuko pembeni yako hapo mpe...
Mnachekesha sana kumbe utani mnauchukulia serious mpk kwenye vitu serious....
 
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga...
Naunga mkono hoja, TAKUKURU wafanye uchunguzi wao kwa kuwahoji viongozi, mashabiki na wachezaji wa timu zilizopigwa goli 5 kwa kuanza na timu ya Simba, haiingii akilini timu kubwa kama Simba ipigwe 5-1 na Yanga,..WHY?!..
 
Back
Top Bottom