TFF: Ni kosa kushirikiana na wadau waliofungiwa kujihusisha na Soka

Kwa shafii alee tu nyundo ya maisha jmaa anajifanya mjuaaji mno
 
Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.

Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.

Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.

Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.

Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.

View attachment 2662865
Kuna mtu anapelekwa kibla soon
 
Rungu kwa wapenzi wawili hawa haliepukiki
JamiiForums-1290500738.jpg
 
Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.

Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.

Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.

Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.

Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.

View attachment 2662865
Mwishowe watahukumu hata TV zitakaoonyesha mashindano ya mpira kwa mtu aliyefungiwa.
 
Back
Top Bottom