Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu anapelekwa kibla soonShirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.
Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa baada ya kwenda kinyume na Katiba, Kanuni na taratibu zinazosimamia mpira wa miguu.
Hivyo, TFF inaendelea kufuatilia ukiukaji huo ili kuchukua hatua stahiki.
Wanafamilia wote wanao wajibu wa kuheshimu Katiba, kanuni na taratibu zinazotawala mpira wa miguu.
Pia waliofungiwa wanajiweka katika hatari ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo hawatatumikia adhabu zao kikamilifu.
View attachment 2662865
🤣🤣🤣🤣🤣Rungu kwa wapenzi wawili hawa haliepukikiView attachment 2663204
Ama kweli penzi kitovu cha uzembe,yaani ya chumbani wanakuja kujionyesha hadharani.Rungu kwa wapenzi wawili hawa haliepukikiView attachment 2663204
Rungu kwa wapenzi wawili hawa haliepukikiView attachment 2663204
Mwishowe watahukumu hata TV zitakaoonyesha mashindano ya mpira kwa mtu aliyefungiwa.Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa.