TFF ni mahali patakatifu sio timu ya kufanyia majaribio ya soka!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Tufike wakati tutofautishe soka na uongozi

Unaweza kusa mchezaji mzuri tu sana ukifika kuongoza watu nshidaaaaaaaa

Ndugu zanguwote mnaoshiriki uchaguzi kwanza naaapongeza kaa uthubutu pili napenda nichukus fursa kueleza tff n mahali patakatifu

Tff sio timu ya majaribio ukishindwa unarudi nyumbani.kuchezea timu yako..

Hapa tinaongeleaaa swala la uongozaji jinsi gani ya kuongoza watu wa aina mbalimbai na kuleta.maendeleo ya soka........

Mh Jamal malinzi ameanza vizuri kabisa ametufikisha mbali alitangaza.malengo yake kabla ya kuingia na.mengi tumeyaona.ma sasa.mda muafaka kumwachia akayamalizie kama. kiongozi bora na sio bora kiongozi...

Tunawatakia kila la kheri msisahau vyeti halisi JUN 29
VOTE4JAMALMALINZI KWA.MAENDELEO YA SOKA TANZANIA

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
 
VITE4JAMALMALINZI KWA.MAENDELEO YA SOKA TANZANIA

Ushuzi mtupu yaan mpaka mnachosha km mnampenda nyinyi si mmpe kijambio maana hana lolote alilo lifanya
 
1498452990121.png
mtu anaaibika huko mitandaoni kabla ya wajumbe kufanya yao
 
Sioo mm n gazeti limekuja na uhalisia halisii sasa hakuna tena mpinzani wa kupambana na malinzi

Ktk hilo ameanza nyamlani kujiondoa wanakija wengi wkiwemo hao mnaoshabikia msiwatukane tu wanasoma nyakati ndio maana wanajitoa...

.******vote4jamalmalinzi****
 
Kamaaaa una pingamizi lolote kwa mgombea wa tff muda ndio huo ikipita 27june awapokei tena (angalizotu)..

Baada yahapo wataendelea na usaili ambapo jun 29 wahusika wataleta vyeti hslisi vikaguliwe na baadae wataendelea na mengineyoo

Mtaarifu na mwenzio
 
Baada yakunusa upepo inaonekana wengi wa wagombea watajiondoa na sababui kadhaa ikiwemo kashfa..elimu..na wengine kusoma nyakati hakuna wa kupambana na Mwenyekiti aliepo jmalinzi....

Kwa mengi na mengineyo soma mwananchi
 
Nawe unakuwa kama akina @lizabon vile, au unajipigia promo mwenyewe!? Kama wewe ni me kwa kusifia huku si bure utakuwa na ukaribu na akina deliiishiazi
 
Back
Top Bottom