Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Tufike wakati tutofautishe soka na uongozi
Unaweza kusa mchezaji mzuri tu sana ukifika kuongoza watu nshidaaaaaaaa
Ndugu zanguwote mnaoshiriki uchaguzi kwanza naaapongeza kaa uthubutu pili napenda nichukus fursa kueleza tff n mahali patakatifu
Tff sio timu ya majaribio ukishindwa unarudi nyumbani.kuchezea timu yako..
Hapa tinaongeleaaa swala la uongozaji jinsi gani ya kuongoza watu wa aina mbalimbai na kuleta.maendeleo ya soka........
Mh Jamal malinzi ameanza vizuri kabisa ametufikisha mbali alitangaza.malengo yake kabla ya kuingia na.mengi tumeyaona.ma sasa.mda muafaka kumwachia akayamalizie kama. kiongozi bora na sio bora kiongozi...
Tunawatakia kila la kheri msisahau vyeti halisi JUN 29
VOTE4JAMALMALINZI KWA.MAENDELEO YA SOKA TANZANIA
[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]