Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
naunga mkono hoja hiiNikiwa kama mmojawapo ya wadau wakubwa wa soka la nchi hii, na muumini wa maadili mema katika Kila nyanja, sipendezwi na Ile shangilia.
Kwa wadau wote wa mpira nadhani mnaona Ile shangilia hadi Hawa vijana wa u-20, wa hizi Timu za ligi kuu wameiga.
Ni aina ya ushangiliaji wa udhalilishaji na kukosa heshima, Naomba TFF na wadau wote wa fair play tuipinge hii style kuelekea msimu mpya wa soka.
AHSANTENI
Mchezaji mwenyewe sijawahi kumuelewa anacheza nini!!Nikiwa kama mmojawapo ya wadau wakubwa wa soka la nchi hii, na muumini wa maadili mema katika Kila nyanja, sipendezwi na Ile shangilia.
Kwa wadau wote wa mpira nadhani mnaona Ile shangilia hadi Hawa vijana wa u-20, wa hizi Timu za ligi kuu wameiga.
Ni aina ya ushangiliaji wa udhalilishaji na kukosa heshima, Naomba TFF na wadau wote wa fair play tuipinge hii style kuelekea msimu mpya wa soka.
AHSANTENI
Nongwa gani aisee. Wewe unaona Ile style ipo sawa?Watu mna nongwa sana😈
Ile ya kurusha rusha miguu....sasa sijui mtoa mada tatizo lake nini hapo wakati watu wanarusha miguu tuu juu juuNi ipi hyo yenye mnamaanisha...tupeni ka video na sisi tuteme nyongo
alishangilia vipi mkuuNongwa gani aisee. Wewe unaona Ile style ipo sawa?
Mmoja ashee picha basNikiwa kama mmojawapo ya wadau wakubwa wa soka la nchi hii, na muumini wa maadili mema katika Kila nyanja, sipendezwi na Ile shangilia.
Kwa wadau wote wa mpira nadhani mnaona Ile shangilia hadi Hawa vijana wa u-20, wa hizi Timu za ligi kuu wameiga.
Ni aina ya ushangiliaji wa udhalilishaji na kukosa heshima, Naomba TFF na wadau wote wa fair play tuipinge hii style kuelekea msimu mpya wa soka.
AHSANTENI
Kumbe kama vyuraIle ya kurusha rusha miguu....sasa sijui mtoa mada tatizo lake nini hapo wakati watu wanarusha miguu tuu juu juu
Eeh kama vyura sasa sijui jamaa ana maindi nini hapoKumbe kama vyura