TFF na Wizara husika kwa nini mshindi wa kwanza wa Maisha plus analipwa fedha nyingi {around 100million} mshindi wa kwanza wa Vodacom Premier League anapata fedha kidogo {around 80 million}. Hivi TFF mnajitambua kweli?. Kwanini hii league asidhamini Azam ambae andhamini Rwanda na Uganda kwa fedha nyingi. Au mnahisa zenu kule Voda.
Kuna gate collection,nauli vifaa ukijumlisha mshindi wa kwanza anapata kama 200mTFF na Wizara husika kwa nini mshindi wa kwanza wa Maisha plus analipwa fedha nyingi {around 100million} mshindi wa kwanza wa Vodacom Premier League anapata fedha kidogo {around 80 million}. Hivi TFF mnajitambua kweli?. Kwanini hii league asidhamini Azam ambae andhamini Rwanda na Uganda kwa fedha nyingi. Au mnahisa zenu kule Voda.