TFF Pimeni juu ya Maisha Plus (MP) vs Vodacom Premier League (VPL)

Usangu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
826
Reaction score
450
TFF na Wizara husika kwa nini mshindi wa kwanza wa Maisha plus analipwa fedha nyingi {around 100million} mshindi wa kwanza wa Vodacom Premier League anapata fedha kidogo {around 80 million}. Hivi TFF mnajitambua kweli?. Kwanini hii league asidhamini Azam ambae andhamini Rwanda na Uganda kwa fedha nyingi. Au mnahisa zenu kule Voda.
 
Tunampango wa kuikodisha pia TFF kama unamjua tajiri yyte leta tenda tu
 
Hao Voda sasa imetosha! Waongeze Dau au wasepe zao!! Wameshikilia udhamini miaka yote thamani ya zawadi haionekani! Ukiangalia pesa walizoweka SA kwenye rugby au footbal wakati ule hata robo haifiki! Maana yake nini?? Wameidharau sana league yetu!! Waongeze Dau na pia hata mshindi ianzie 1 hadi nafasi ya 10
TFF na Wizara husika kwa nini mshindi wa kwanza wa Maisha plus analipwa fedha nyingi {around 100million} mshindi wa kwanza wa Vodacom Premier League anapata fedha kidogo {around 80 million}. Hivi TFF mnajitambua kweli?. Kwanini hii league asidhamini Azam ambae andhamini Rwanda na Uganda kwa fedha nyingi. Au mnahisa zenu kule Voda.
 
TFF na Wizara husika kwa nini mshindi wa kwanza wa Maisha plus analipwa fedha nyingi {around 100million} mshindi wa kwanza wa Vodacom Premier League anapata fedha kidogo {around 80 million}. Hivi TFF mnajitambua kweli?. Kwanini hii league asidhamini Azam ambae andhamini Rwanda na Uganda kwa fedha nyingi. Au mnahisa zenu kule Voda.
Kuna gate collection,nauli vifaa ukijumlisha mshindi wa kwanza anapata kama 200m
 
Maisha plus anachukua yote mtu mmoja lakini 200m ni kwa club nzima
 
Back
Top Bottom