Usangu
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 826
- 450
TFF na Wizara husika kwa nini mshindi wa kwanza wa Maisha plus analipwa fedha nyingi {around 100million} mshindi wa kwanza wa Vodacom Premier League anapata fedha kidogo {around 80 million}. Hivi TFF mnajitambua kweli?. Kwanini hii league asidhamini Azam ambae andhamini Rwanda na Uganda kwa fedha nyingi. Au mnahisa zenu kule Voda.