OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View attachment 1494221
Mchezaji aliyepewa kadi ameshangazwa
View attachment 1494237
Mtangazaji wa Azam akishangazwa na maamuzi ya refa.
Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tamko lolote toka TFF la kufuta mchezo huo na kutuomba radhi wapenda soka,nataka kuamini kuwa mechi hii ilipangwa ili Yanga ikutane na Simba kutengeneza mapato.
PCCB fanyeni kazi yenu na sisi tutawapa kila aina ya ushirikiano
[/QUOTlikafutwe lile goli mikia walilopewa na mwamuzi mechi kati ya simba na Yanga kwa faulo ya Yondani.kiherehere tu kinawasha
Makamu mwenyekiti wa kamati ya waamuzi amemkingia kifua akidai ni makosa ya kibinadamu na sisi tunaolalamika ni kwa sababu tunaona marudio mwisho wa kunukuu.Kitendo tu cha tff kukaa kimya mpaka sasa inaonesha kabisa hawapo kwa maslahi ya mchezo wa mpira wa nchi hii bali wapo kwa maslahi ya clubs fulani na matumbo yao.
Sio tu kamati ivunjwe bali wafanye namna nyingine jinsi ya kupata waamuzi wengine makini. Mashabiki na wapenda soka kwa ujumla tuko mbele yaani kidigital, huku tukitaka soka la nchi hii liendeshwe kisasa lakini waamuzi na viongozi bado wako enzi za FAT, enzi za kipa hasiguswe.Makamu mwenyekiti wa kamati ya waamuzi amemkingia kifua akidai ni makosa ya kibinadamu na sisi tunaolalamika ni kwa sababu tunaona marudio mwisho wa kunukuu.
Hii ni kauli ya ajabu ambayo sikutegemea itatoka kwa mtu kamayeye( mkongo) inaonyesha wazi refa alipewa maagizo nini afanye mbona mwamuzi aliyechezesha vibaya kwenye mechi ya simba adhabu ilitoka kesho yake.hii kamati ya waamuzi bora ivunjwe
Huyo alishajua kua wao ndo wanashindwa kuwaandaa vzr waamuziMakamu mwenyekiti wa kamati ya waamuzi amemkingia kifua akidai ni makosa ya kibinadamu na sisi tunaolalamika ni kwa sababu tunaona marudio mwisho wa kunukuu.
Hii ni kauli ya ajabu ambayo sikutegemea itatoka kwa mtu kamayeye( mkongo) inaonyesha wazi refa alipewa maagizo nini afanye mbona mwamuzi aliyechezesha vibaya kwenye mechi ya simba adhabu ilitoka kesho yake.hii kamati ya waamuzi bora ivunjwe
Wafanye hivyo Tena kwa ile ya 2-2 dhidi ya yangaView attachment 1494221