TFF,Refa na Yanga ninawakabidhi kwa PCCB kwa kupanga matokeo

TFF,Refa na Yanga ninawakabidhi kwa PCCB kwa kupanga matokeo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Mchezaji aliyepewa kadi ameshangazwa

Mtangazaji wa Azam akishangazwa na maamuzi ya refa.

Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tamko lolote toka TFF la kufuta mchezo huo na kutuomba radhi wapenda soka, nataka kuamini kuwa mechi hii ilipangwa ili Yanga ikutane na Simba kutengeneza mapato.

PCCB fanyeni kazi yenu na sisi tutawapa kila aina ya ushirikiano
 
Hata game ya yanga vs azam refa aliwabeba yanga na kukataa mabao ya wazi ya azam
 
Mi nilichokigundua kwenye issue ya marefa sio kua wananunuliwa ila kuna udhaifu kwa wasimamizi wa hao marefa.
Haiwezekani kila clab inalalamikia refa kuhongwa, kuna kipindi baadhi ya mechi za Simba marefa walikua wanaruhusu hata goli za offside mashabiki wa Yanga walipiga kelele sana. Na wakati huo huo kuna game za simba, marefa wanawanyima haki yao, mfano goli dhidi ya mbeya city, je tuseme mbeya city walimuonga referee ili isifungwe goli la tatu, staki kuamini hicho ni ubovu wa referee kwenye kutafsiri sheria.
Kuna matukio ya Yanga dhidi ya polisi Tanzania, Lipuli fc, Azam fc, Kagera sugar etc hayo yote mashabiki wa Simba nao wanapiga kelele.
Lakini Jana kwa aliyeangalia mechi ya Alliance fc dhidi ya Namungo refa kawapa penati Namungo penati ambayo haikustahili kua penati, lakini hakuna anayeisemea.
Pointi yangu ni nini? TFF inabidi wajitathmini jinsi gani wanawapa mafunzo hawa waamuzi, wasiwe wanawatoa tu kafara waamuzi kumbe udhaifu unaanzia huko kwa wakufunzi wa hawa waamuzi.
Tutapiga kelele sana ila kama msingi wa hili tatizo hatujalipata hatutaweza kutatua tatizo.
Mfano ile faulo anafanyiwa Awesu na Metacha na ile aliyofanyiwa Fei toto angalia mwamuzi alisimama upande upi, na ile faulo ya Ngasa iliyozaa penati mwamuzi alikua nyuma ka anakimbiza mwizi je angeweza kujua mstari ulipo?. TFF kwenye suala la waamuzi wajitathmini sio kuishia kuwafungia. Waangalia upya uko jikoni je wanapikika vizuri hadi wakaiva.
Utani wa Jadi:
Nyie utopolo mnapomlaumu Rukya kwa kuwapa penati Simba mlitaka ampe red card Yondani au?
Maana Kagere alikua mchezaji wa mwisho, Shukuruni aliwadhibu kwa penati.
 
View attachment 1494221
Mchezaji aliyepewa kadi ameshangazwa

View attachment 1494237

Mtangazaji wa Azam akishangazwa na maamuzi ya refa.

Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tamko lolote toka TFF la kufuta mchezo huo na kutuomba radhi wapenda soka,nataka kuamini kuwa mechi hii ilipangwa ili Yanga ikutane na Simba kutengeneza mapato.

PCCB fanyeni kazi yenu na sisi tutawapa kila aina ya ushirikiano
[/QUOTlikafutwe lile goli mikia walilopewa na mwamuzi mechi kati ya simba na Yanga kwa faulo ya Yondani.kiherehere tu kinawasha
 
Kitendo tu cha tff kukaa kimya mpaka sasa inaonesha kabisa hawapo kwa maslahi ya mchezo wa mpira wa nchi hii bali wapo kwa maslahi ya clubs fulani na matumbo yao.
 
Kitendo tu cha tff kukaa kimya mpaka sasa inaonesha kabisa hawapo kwa maslahi ya mchezo wa mpira wa nchi hii bali wapo kwa maslahi ya clubs fulani na matumbo yao.
Makamu mwenyekiti wa kamati ya waamuzi amemkingia kifua akidai ni makosa ya kibinadamu na sisi tunaolalamika ni kwa sababu tunaona marudio mwisho wa kunukuu.
Hii ni kauli ya ajabu ambayo sikutegemea itatoka kwa mtu kamayeye( mkongo) inaonyesha wazi refa alipewa maagizo nini afanye mbona mwamuzi aliyechezesha vibaya kwenye mechi ya simba adhabu ilitoka kesho yake.hii kamati ya waamuzi bora ivunjwe
 
Sio tu kamati ivunjwe bali wafanye namna nyingine jinsi ya kupata waamuzi wengine makini. Mashabiki na wapenda soka kwa ujumla tuko mbele yaani kidigital, huku tukitaka soka la nchi hii liendeshwe kisasa lakini waamuzi na viongozi bado wako enzi za FAT, enzi za kipa hasiguswe.
 
Makamu mwenyekiti wa kamati ya waamuzi amemkingia kifua akidai ni makosa ya kibinadamu na sisi tunaolalamika ni kwa sababu tunaona marudio mwisho wa kunukuu.
Hii ni kauli ya ajabu ambayo sikutegemea itatoka kwa mtu kamayeye( mkongo) inaonyesha wazi refa alipewa maagizo nini afanye mbona mwamuzi aliyechezesha vibaya kwenye mechi ya simba adhabu ilitoka kesho yake.hii kamati ya waamuzi bora ivunjwe
Huyo alishajua kua wao ndo wanashindwa kuwaandaa vzr waamuzi
 
View attachment 1494221
Mchezaji aliyepewa kadi ameshangazwa

View attachment 1494237

Mtangazaji wa Azam akishangazwa na maamuzi ya refa.

Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tamko lolote toka TFF la kufuta mchezo huo na kutuomba radhi wapenda soka,nataka kuamini kuwa mechi hii ilipangwa ili Yanga ikutane na Simba kutengeneza mapato.

PCCB fanyeni kazi yenu na sisi tutawapa kila aina ya ushirikiano
Wafanye hivyo Tena kwa ile ya 2-2 dhidi ya yanga
 
Michezaji mivuta ndumu hii..atakuwa alimtukana refa ...aliwabeba Kagera Nyosso naye alikuwa apewa red card
 
Back
Top Bottom