OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mchezaji aliyepewa kadi ameshangazwa
Mtangazaji wa Azam akishangazwa na maamuzi ya refa.
Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tamko lolote toka TFF la kufuta mchezo huo na kutuomba radhi wapenda soka, nataka kuamini kuwa mechi hii ilipangwa ili Yanga ikutane na Simba kutengeneza mapato.
PCCB fanyeni kazi yenu na sisi tutawapa kila aina ya ushirikiano