Mkuu pole sana kwa hayo yaliyowakuta. Hata hivyo, kwa upande mmoja, hebu tafakari reactions za mikia baada ya Tambwe kufanyiwa umafia uwanjani. Kwa upande mwingine, kuna tofauti gani kati ya mtu anayechekelea Okwi kuumizwa na huyu anayekuwadi kuwa uhalifu unalipa?
Unaweza kuitambua signature hii ni ya nani, ungemfahamu ungempa ushauri gani?:
'
Eti " UHALIFU HAULIPI " Nenda kawaambie waliokula pesa za Richmond,Escrow,IPTL, wauza madawa ya kulevya,wauza pembe za ndovu na Twiga usikie watakachokwambia. Haulipi kwako tu.'
Asomaye na atazame signature ya
Komeo Lachuma
CC.
Masuke,
Amavubi,
Bantu lady,
grafani11,
Freeland,
sembo etc.