TFF sasa mmeipa Yanga kibali cha kushinda kila mechi kwa hali na mali

kuna mayanga ambao upeo wao wakufikiri ni mdogo sana . wao wanachukulia michezo ni uadui na ndo maana mtu mzima kabisa na wish kuwa okwi angekufa, huu ni moyo wa kichawi kabisa.
 
Mkuu pole sana kwa hayo yaliyowakuta. Hata hivyo, kwa upande mmoja, hebu tafakari reactions za mikia baada ya Tambwe kufanyiwa umafia uwanjani. Kwa upande mwingine, kuna tofauti gani kati ya mtu anayechekelea Okwi kuumizwa na huyu anayekuwadi kuwa uhalifu unalipa?

Unaweza kuitambua signature hii ni ya nani, ungemfahamu ungempa ushauri gani?:

'Eti " UHALIFU HAULIPI " Nenda kawaambie waliokula pesa za Richmond,Escrow,IPTL, wauza madawa ya kulevya,wauza pembe za ndovu na Twiga usikie watakachokwambia. Haulipi kwako tu.'

Asomaye na atazame signature ya Komeo Lachuma

CC. Masuke, Amavubi, Bantu lady, grafani11, Freeland, sembo etc.
 
Last edited by a moderator:

Huyu jamaa sio mpenzi halisi wa mpira

Mpira ni mchezo wa Upendo

Fair Play

Vitendo alivyofanyiwa Tambwe,Okwi ni vya kishetani.Havipaswi kufumbiwa macho.

Ila hili la okwi ndo limeshapita hivyo...TFF will do nothing

Tulishasema
 
Mpira wa bongo ukifuatilia utapasuka kchwa...leo utasikia wachezaji wampa kichapo refa. Kesho utaskia Ngaza kakmblia SA akrud anaendeleza soka...yaan superstars wa bongo ful madudu ula hatua hazichukuliki. Team ful kukmbza coaches...
 
Makoye Matale.... wewe ndi ndugu yangu kabisa kama si Tabora basi shinyanga au mwanza. ukiisoma hiyo signature kwa akili ya ziada utaielewa kuwa ni sarcasm. sasa labda utataka kujua sarcasm ni ni. ingia google utajua ndugu yangu. nakuita ndugu kwa sababu ndugu ni ndugu na huwezi kuchagua ndugu ila unaweza chagua rafiki. ni kweli uhalifu unalipa. angalia akina chenge ,akina pinda, akina prof/dr na mtoto wa Prof/dr sijui wa nini alivyo tajiri kwa sababu ya uhalifu. uhalifu hailupi kwa anayeiba simu,poch na kuku. wale wakubwa wanaishi maisha ya raha mustarehe sababu uhalifu wao unawalipa. na kama huamini nmekwambia kawaambie hayo maneno kama hawajakucheka.

mimi sifurahii mpira wa rafu hata siku moja. nachukia mpira wa rafu kama navyochukia mpira wa majungu,fitina na malalamiko team inapokosa ushind.hapa siataja team. so wadau msitake na mimi kunishtak ttf halafu mkatishia kujitoa ligi maana hamchelew nyie.
 
Last edited by a moderator:
hili linatokana na matamko ambayo Yanga mara kadhaa inatoa pale inapokosa ushindi. mara watasema walionewa na mwamuzi. mara watasema uwanja ulikuwa mbovu, mara watasema walilazwa hotel mbaya n.k. TFF mara nyingi imekuwa ikionekana kuwaogopa Yanga. hii mechi yao na maafande ilichezwa wiki moja iliyopita .tulitegemea mapema sana jambo lao kama lilikuwa hivyo walivyosema siku ile mara baada ya mechi wawasiliane na TFF. Je ina maana makamisaa hawakutoa report hiyo mpaka Yanga walipolalamika na kutoa vitisho? kama kuna makosa yalifanywa na wachezaji wa police yalipaswa kushughulikiwa mapema kabla malalamiko hayajatolewa. sasa hii itajenga hofu kwa marefarii wanaochezesha mechi za yanga kwa maana kama yanga isipofunga itaonekana hawakuchezesha vizuri na hivyo kutafutia sababu. hii itawajenga wachezaji wa Yanga kuwana kibri sana na kulazimisha ushindi, kila mara kumzonga mwamuzi kutaka matakwa yao yatimizwe na pia kuwafanya waamuzi wachezeshe mech za yanga kwa woga sana.
TFF msifanye maamuzi kwa pressure ingekuwa jambo la ajabu kwa yangakujitoa ligi. mbali na kucheza ligi yanga inafanya nini zaidi? ina michezo gani zaidi ya mpira wa miguu? hilo lilikuwa tishio la kijinga. kanuni zifatwe na si team hizi kubwa kuish kama zitakavyo.lakini pia team zote ziwe na nidhamu
Yanga kujitoa kweye ligi kuu ni sawa na mke ambaye ni mama wa nyumbani kutishia kumuomba mumewe talaka.
 
Huyu jamaa sio mpenzi halisi wa mpira

Mpira ni mchezo wa Upendo

Fair Play

Vitendo alivyofanyiwa Tambwe,Okwi ni vya kishetani.Havipaswi kufumbiwa macho.

Ila hili la okwi ndo limeshapita hivyo...TFF will do nothing

Tulishasema

Uhuni kwenye soka ni lazima ukomeshwe bila kujali sura ya mtu. Endapo TFF haitachukua hatua stahiki tutamwuliza Mkuu Jamal Malinzi atupe msimamo wa Shirikisho lake. Sasa hivi ni mapema sana kuihukumu TFF, tuvute subira Mkuu.
 
Wewe ni Simba kapakatwa Pub nini? Mbona unalialia ki-kei
 
Huyu jamaa sio mpenzi halisi wa mpira

Mpira ni mchezo wa Upendo

Fair Play

Vitendo alivyofanyiwa Tambwe,Okwi ni vya kishetani.Havipaswi kufumbiwa macho.

Ila hili la okwi ndo limeshapita hivyo...TFF will do nothing

Tulishasema

Mkuu uyu jamaa hajielewi, kama ni mpenzi wa soka, je aliona OKWI alichofanyiwa, na hapo ni mwanzo tu, kuna mtu mmoja simba alisema mastaa walindwe, sasa uyu anasapoti nini upuuziii.ii
 
Uhuni kwenye soka ni lazima ukomeshwe bila kujali sura ya mtu. Endapo TFF haitachukua hatua stahiki tutamwuliza Mkuu Jamal Malinzi atupe msimamo wa Shirikisho lake. Sasa hivi ni mapema sana kuihukumu TFF, tuvute subira Mkuu.

Mkuu...bwana Jamal Malinzi ni mtaalamu sana wa kuahidi

Hana tofauti na wale wanasema "Mpango mkakati kabambe kwa ajili ya upembuzi yakinifu umeshapelekwa kwa mkandarasi....na mkandarasi anafanyia tathimini mahususi ili mradi uweze kutekelezwa mapema iwezekanavyo"

Baada ya hapo mtasubiri weeeeee

Ila on serious note...Kama TFF italiacha na hili athari zake zitakuwa mbaya.Siku moja mtu atauawa uwanjani kwa makusudi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana kwa hayo yaliyowakuta. Hata hivyo, kwa upande mmoja, hebu tafakari reactions za mikia baada ya Tambwe kufanyiwa umafia uwanjani. Kwa upande mwingine, kuna tofauti gani kati ya mtu anayechekelea Okwi kuumizwa na huyu anayekuwadi kuwa uhalifu unalipa?

Unaweza kuitambua signature hii ni ya nani, ungemfahamu ungempa ushauri gani?:

'Eti " UHALIFU HAULIPI " Nenda kawaambie waliokula pesa za Richmond,Escrow,IPTL, wauza madawa ya kulevya,wauza pembe za ndovu na Twiga usikie watakachokwambia. Haulipi kwako tu.'

Asomaye na atazame signature ya Komeo Lachuma

CC. Masuke, Amavubi, Bantu lady, grafani11, Freeland, sembo etc.

Unajua mkuu Makoye Matale, huyu Komeo Lachuma na wenzake wanasahau usemi wa mkuki mtamu, kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Tambwe alipoumizwa na beki katili, walishangilia hapa.

Ila hata siku si nyingi nao yakawatokea, kwenye michezo jambo baya linapotokea, hatuna budi kulikemea.
Bila kujali ushabiki limetokea timu gani, maana mchezo ni huo mmoja dimba moja.
Likitokea kwetu, kesho kwao wajue hili.
 
Last edited by a moderator:
Bantu lady unanichokoza eeeeh? umenisahau ? siku ile ulilia na sasa umenifata tena huku sebulen? haina shida najua adhabu yako ntakupa wapi. hakuna anayependa mpira wa rough. ambacho hatuoend ni kuwa team ikipoteza mech au isiposhinda inamtafuta wa kumwangushia hasira zake. huo ndo ujinga tusiotaka. mpira ni amani na upendo. rough zipo za bahati mbaya lakini isiwe mtu anapanga makusudi . usisahau tambwe tumewapa sisi kama ambavyo okwi mlimpata toka kwetu baadaye akatrud so hawa wachezaji ni wetu wote wanazunguka tu team hadi team. hatupend tabia ya yanga ikifungwa ina mtafuta refa, mchezaji au uwanja. ila la kwanza inaanza na USHIRIKINA. mpira sayans ya uwanjani dada. haya nambie mrembo wangu. mambo yanaendaje? najua mi ni mtani wako jembe... kidume wako. nenda uendako we Yanga ni chakula changu tu ... mi ndo mtani wako jembe.... usisahau na hata wewe makoye matale...... mimi ndo mumeo .gudume gwa mbegu
 
ImageUploadedByJamiiForums1422641434.605453.jpg
 
Back
Top Bottom