Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Moja ya kiongozi wa Kundi la Tanzania Freedom Fighters(TFF) amefafanua na kueleza maana halisi ya kundi hili
Amesema TFF ni kundi la wananchi wa Tanganyika Wazalendo na sio kundi la kigaidi au la uasi kama wanavyosema Jeshi la Polisi.
Aidha amesema kindi hili limezaliwa baada yaliotokea Oktoba 29, 2025 kwa kuuwawa ndugu zetu huswani vijana, Ambapo tuliamini polisi walinda usalama wa wananchi na mali zao lakini ilikuwa tofauti maana kilijionyesha kuwa wanatetea CCM.