Watu wanasema tuwape timu makocha wazawa, sasa unajiuliza huyo kocha mzawa ni kitu Gani amewahi ku-deliver mpaka tumpe timu... Hawa akina Mgunda, Morocco cjui matola hawana jipya... Ww jiulize watu hawana exposure yoyote yaani hawajawahi hata kujikomaza kwenda nje ya Tanzania kupambania timu yoyote waifundishe ili wapate ukomavu... Wenyewe akili zao zimeishia kufundisha vitimu vya Tanzania sijui Namungo, Jkt, Dodoma Jiji... Hata hivyo vitimu wakipewa hakuna la maana washawahi kufanya... Kwa miaka ya hivi karibuni Kidogo Felix Minziro aliifundisha Geita ikawa competitive timu na mpira ulikua unaoneka....
Hata wachezaji hatuna.. wachezaji wanawaza kucheza Simba na yanga akili zao zimeishia hapo.. Wenzetu mataifa engine ya Afrika hususani Afrika magharibi timu zao taifa wachezaji CV zao wanacheza ulaya mwanza mwisho, sisi wachezaji wetu WA Simba sijui yanga wanafundishwa na akina matola ndo tushindane na wenzetu kweli...
Sasa Jana likocha limejanza maviungo wakabaji utafikiri tunacheza na France, limeweka akina Kibabage eti ndo watufungie magoli... Likocha limewaacha akina Samatta na Msuva kwa sababu za kijinga,