nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda.
TFF badala ya kuchukuwa hatuna stahiki inaangalia tu. Iko siku tabia hii italeta maafa mchezoni maana hata majuzi mechi ya kimataifa ya kombe la Shirikisho kati ya Simba na timu Ile Toka Tunisia ilisababisha vurugu na viti vya uwanja wa Benjamini Mkapa kung'olewa .
TFF Chukueni hatua maana usipojenga ufa utajenga ukuta.