TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

nizakale

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2019
Posts
4,035
Reaction score
2,938
Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda.

TFF badala ya kuchukuwa hatuna stahiki inaangalia tu. Iko siku tabia hii italeta maafa mchezoni maana hata majuzi mechi ya kimataifa ya kombe la Shirikisho kati ya Simba na timu Ile Toka Tunisia ilisababisha vurugu na viti vya uwanja wa Benjamini Mkapa kung'olewa .

TFF Chukueni hatua maana usipojenga ufa utajenga ukuta.
 
Tatizo laweza kuwa Baki zinafanya hujuma pesa zinakula zenyewe..
Kwa makosa ya Kipuuzi kila mechi
 
Nafikiri jambo la msingi tuendelee kushinda mechi zetu mambo mengine yatajulikana mbele ya safari.
 
Ni mwendo wa kuwaonga marefa, wachezaji wa timu pinzani mpaka tuchukue ubingwa!
 
Dodoma Jiji 1-0 Yanga
Matokeo ya kesho hayo.
 
Pena
Penalty gani iliyotoka ya kubebwa? Acha chuki kalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…